Amekubali nizae na Msichana mwingine wakati namsubiri yeye amalize masomo

Amekubali nizae na Msichana mwingine wakati namsubiri yeye amalize masomo

Umeambiwa utakufa baada ya miaka 26 ndio maana unataka mtoto?
Umejiandaa kuwa baba na mlezi au unadhani kutungisha mimba tu inatosha?

Ushauri tulia mpaka utakapooa ndio uzae utakuwa umejisaidia wewe na huyo mtoto ajae. Kwasasa endelea kutafuta pesa binti akimaliza chuo muoe kisha mzae nje au kama humtaki tafuta mwingie oa halafu zaa.
 
Tayari ushaonyesha we ni kijana selfish kwa hiyo natabiri hiyo ndoa itakuwa na misukosuko. Unaangalia upande wako tuu, ni hii ni sababu ya nda kuaraganyika
 
Back
Top Bottom