Umeambiwa utakufa baada ya miaka 26 ndio maana unataka mtoto?
Umejiandaa kuwa baba na mlezi au unadhani kutungisha mimba tu inatosha?
Ushauri tulia mpaka utakapooa ndio uzae utakuwa umejisaidia wewe na huyo mtoto ajae. Kwasasa endelea kutafuta pesa binti akimaliza chuo muoe kisha mzae nje au kama humtaki tafuta mwingie oa halafu zaa.