Au wakati anapewa huo uroda?Tulikuwepo sisi wakati unampa hela zako? Msituchoshe.
Ndo maisha mzeeMwenzenu kuna mdada nilimpenda, siwezi kusema na yeye alinipenda. Nimekula uroda mara moja tu lakini amekula sana hela zangu. Najua ana watoto 2 wa baba tofauti, nimeamua kuwa mbali kabisa, sijutii pesa, najutia muda niliopoteza kuchati nae.
Mwenzenu kuna mdada nilimpenda, siwezi kusema na yeye alinipenda. Nimekula uroda mara moja tu lakini amekula sana hela zangu. Najua ana watoto 2 wa baba tofauti, nimeamua kuwa mbali kabisa, sijutii pesa, najutia muda niliopoteza kuchati nae.