Amekula sana hela zangu

Vijana wamekuwa wa hovyo sana siku hizi...

Sasa unataka tukurudishie hizo hela au???? Nn hasa tukusaidie mwana fesibuku
 
Mwenzenu kuna mdada nilimpenda, siwezi kusema na yeye alinipenda. Nimekula uroda mara moja tu lakini amekula sana hela zangu. Najua ana watoto 2 wa baba tofauti, nimeamua kuwa mbali kabisa, sijutii pesa, najutia muda niliopoteza kuchati nae.
swali au ushauri
 
Hajakupenda huyo

Mwanamke akupende akupe game mara moja si kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…