Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
swali au ushauriMwenzenu kuna mdada nilimpenda, siwezi kusema na yeye alinipenda. Nimekula uroda mara moja tu lakini amekula sana hela zangu. Najua ana watoto 2 wa baba tofauti, nimeamua kuwa mbali kabisa, sijutii pesa, najutia muda niliopoteza kuchati nae.
Hajakupenda huyoMwenzenu kuna mdada nilimpenda, siwezi kusema na yeye alinipenda. Nimekula uroda mara moja tu lakini amekula sana hela zangu. Najua ana watoto 2 wa baba tofauti, nimeamua kuwa mbali kabisa, sijutii pesa, najutia muda niliopoteza kuchati nae.