Uchaguzi 2020 Amemaliza Chuo hana kazi mwaka wa 4 anaishi Tosamaganga anasema anaipenda CCM kwa sababu imejenga Flyover Ubungo Dar

Sera za uchumi za ccm ndio zimemfanya awe alivyo mkuu ungemuona kwa macho yako hasa soli za viatu ungemuonea huruma hadizev kuwa graduate.
Mwaka huu hakuna fulana wala sare za bure.
 
hata iweje kipindi cha kuelekea uchaguzi hata kama mwanamke mbaya utaambiwa mwanamke mzuri..ndo muda wa porojo huu vijiweni tunasemaga
 
Mwaka huu hakuna fulana wala sare za bure.
ukizipanga tshirt..kofia na mashati unaweza ukaanza dar mpaka kigoma ujiji na ukaanza kurudi ukafika morogoro na ukabaki na mashati mawili ya kuingia nayo mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…