mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,400
- 3,853
Mwaka huu hakuna fulana wala sare za bure.Sera za uchumi za ccm ndio zimemfanya awe alivyo mkuu ungemuona kwa macho yako hasa soli za viatu ungemuonea huruma hadizev kuwa graduate.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka huu hakuna fulana wala sare za bure.Sera za uchumi za ccm ndio zimemfanya awe alivyo mkuu ungemuona kwa macho yako hasa soli za viatu ungemuonea huruma hadizev kuwa graduate.
NI msomi asiyejua kutumia raslimali zilizopo very sadYaani kweli kwenye nchi masikini yenye raslimali bwelele Kuna watu hawana kazi...?
ukizipanga tshirt..kofia na mashati unaweza ukaanza dar mpaka kigoma ujiji na ukaanza kurudi ukafika morogoro na ukabaki na mashati mawili ya kuingia nayo mjiniMwaka huu hakuna fulana wala sare za bure.
Hahaha duh huu uzalendo unatia kinyaa, ni ishara tosha ya upumbavu na ni udhihirisho wa mfumo mbovu wa elimu.Huo ndio uzalendo