Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,Naona lengo lenu ni kutaka ku spoil wengine wapotee.
Kama HAUJAWAI kutumia kilevi chochote Basi jua "HAUJAWAI KUISHI""Wewe ni mmbabaishaji.
Hivi ule uzi ni serious mkuu, najuaga ni utani tuNdio maana kila siku huwa nasemaga MSIWE mnajistress kusomesha watoto wenu kwenye shule za English Mediums. Fate is everything. Haya sasa twende kazi kimbia haraka sana katoe watoto wako kwenye shule ya English Medium warudishe Kayumba.
Thank me later
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Mambo ya ushoga yanaingiaje hapa...si uungi mkono ushoga..mseven aliwai kusema siku MWANAUME NA MWANAUME WAKIFUNGIWA NDANI NA WAKAZAA MTOTO BASI UGANDA WATARUHUSU NDOA ZA JINSIA MOJA.Mwanajf, kuhalalishwa bangi Marekani ni katika level ya kimajimbo sio under federal law. Na ni baadhi ya majimbo. Na katika hayo majimbo, jimbo la kwanza ni California mwaka 1996, US ishakuwa Superpower miaka mingi.
Washakuwa superpower ndio wanahalalisha mambo haya. Hiyo ni dalili ya ku decline na sio kukua.
Ni kama wale wanaosema mbona Marekani imehalalisha ushoga na imeendelea, yaani anamaanisha ushoga na "woke culture" ndio imeifikisha Marekani pale, anasahau au hajui mambo hayo Marekani yameanza kuhalalishwa ikiwa tayari ni Superpower. Na yanaiangusha jamii, yanaiangusha familia. Hivyo ni dalili ya ku decline, sio kukua.
Bangi haitakiwi uchanganye na pombe...Kama mmea piga mmea pekee..
Usichanganye mmea + pombe yaani hutoboi.
Kama pombe drinking responsible..kunywa kwa KIASI kipimo chako yaan unatakiwa ujue alcohol persistence yako na uishi humo..
Mimi nilikuwa zaidi ya huyo Binti
Kuna jamaa mmoja anakunywaga spirit (alcohol) na ugoro..Ni rahisi sana huyu ,hakuanza na bangi ijapokuwa alianza kutumia pombe na pia inaonyesha alikuwa anaenda club.ukiwa mlevi ni rahisi sana kutumia bangi,ugoro au madawa mengine ya kulevya.Nilikuwa naasoma chuo nakunywa sana pombe baadae nikawa nakula bangi,plus sigara na ugoro mpaka nilipokuwa addicted kabisa .siku nisipokunywa ninakuwa kama chizi .ila ni addiction mbaya sana hata ukimpeleka sober haitakusaidia sana nione nikupe namba ya mtu aliyenisaidia
Hili andiko lako lime niogopesha.Ni rahisi sana huyu ,hakuanza na bangi ijapokuwa alianza kutumia pombe na pia inaonyesha alikuwa anaenda club.ukiwa mlevi ni rahisi sana kutumia bangi,ugoro au madawa mengine ya kulevya.Nilikuwa naasoma chuo nakunywa sana pombe baadae nikawa nakula bangi,plus sigara na ugoro mpaka nilipokuwa addicted kabisa .siku nisipokunywa ninakuwa kama chizi .ila ni addiction mbaya sana hata ukimpeleka sober haitakusaidia sana nione nikupe namba ya mtu aliyenisaidia
Mkuu, ni kwa nini sober haitomsaidia? maana ndo vituo vinavyoaminika kurekebisha tabia za waraibu wa madawa ya kulevya, pombe na bettingNi rahisi sana huyu ,hakuanza na bangi ijapokuwa alianza kutumia pombe na pia inaonyesha alikuwa anaenda club.ukiwa mlevi ni rahisi sana kutumia bangi,ugoro au madawa mengine ya kulevya.Nilikuwa naasoma chuo nakunywa sana pombe baadae nikawa nakula bangi,plus sigara na ugoro mpaka nilipokuwa addicted kabisa .siku nisipokunywa ninakuwa kama chizi .ila ni addiction mbaya sana hata ukimpeleka sober haitakusaidia sana nione nikupe namba ya mtu aliyenisaidia
Huyo kaingizwa mkenge na mpenzi wake.Waswahili wanasema kuzaa sio kupata kweli nimeamini.
Kuna binti wa ndugu yangu mmoja huko Kilimanjaro mtoto wake wa kike amemaliza masters ya udaktari hivi karibuni ila kwa bahati mbaya akiwa anafutilia mambo yake ya kazi akapatwa na hali ya kuchanganyikiwa ghafla maana hakuwa anapatikana kwenye simu karibu siku tatu sasa mjomba mtu kwakuwa nina gari nikatumwa kwenda kumtazama kama yupo sawa huko alikopanga.
Yaani niliyoyakuta hapo kwenye nyumba anapoishi kwa huyo mtoto wa kike nilishangaa sana, kuna mizinga ya pombe kali imetapakaa kwenye masofa amelewa sana na mezani kuna vipisi vingi vya marijuana amejikojolea hajitambui ikabidi mjomba mtu kwakuwa nina mwili mkubwa nikambeba kama alivyo na kumuwahisha hospitali wameanza kumpa medication ila daktari naona anashauri aende sober akitoka hapa.
Mama mtu nampa taarifa amechanganyikiwa anajiuliza inawezekanaje mtoto wa kike kuvuta bangi na ikiwa tayari amesomea udaktari tena kwa level ya juu sana na amefaulu vizuri, hii inaweza kuwa ni mapepo au msongo wa mawazo?
Msaada ili tumshauri mama yake
✊✊✊Wanaogopa Watu Wakijtambua,,Watu Wakiamka Kifikra Ni Hatari Kwao Hao Wakatazao Wakati Wao Wakitumia....Bangi Ni Moja Kati Ya Majani Matakatifu Yenye Bonge Moja La Meditation Ukitumia Kwa Kiasi Kwa Wakati(Nidhamu) Kama Kilevi Chochote Kile Na Hata Ukiangalia Vilevi Vingine Vya Kimiminika Na Vilivyokatika Forms TofautiTofauti Asili Yake Ni Mimea.Mambo ya ushoga yanaingiaje hapa...si uungi mkono ushoga..mseven aliwai kusema siku MWANAUME NA MWANAUME WAKIFUNGIWA NDANI NA WAKAZAA MTOTO BASI UGANDA WATARUHUSU NDOA ZA JINSIA MOJA.
KUHUSU BANGI KATI YA POMBE NA BANGI NI BORA BANGI HAINA MADHARA KAMA POMBE.. KWANINI SERIKALI IRUHUSU POMBE YENYE MADHARA KWA AFYA NA UCHUMI.
SERIKALI NYINGI ZINAKATAZA BANGE SABABU KWENYE BANGE ITAKUAMSHA NA KUWA NA AWARENESS, UJASIRI, ITAKUONDOLEA UNYONGE,UFANISI KATIKA KAZI,UTHUBUTU,USHUPAVU, FOCUS, MAMBO MAKUBWA UTAYAONA MEPESI KIKUBWA NI KULA VIZURI NA KUVUTA KWA KIASI.
Hakika mkuu umeeleza kweli tupu..utaweza kuchambua na kupata majibu mengi ya mafumbo katika Maisha.✊✊✊Wanaogopa Watu Wakijtambua,,Watu Wakiamka Kifikra Ni Hatari Kwao Hao Wakatazao Wakati Wao Wakitumia....Bangi Ni Moja Kati Ya Majani Matakatifu Yenye Bonge Moja La Meditation Ukitumia Kwa Kiasi Kwa Wakati(Nidhamu) Kama Kilevi Chochote Kile Na Hata Ukiangalia Vilevi Vingine Vya Kimiminika Na Vilivyokatika Forms TofautiTofauti Asili Yake Ni Mimea.
Si kweli mimi naishi makurunge kwa kivuziBro humu wote tuna magari na tunaishi masaki, hakuna mnyonge
Amen✊✊Hakika mkuu umeeleza kweli tupu..utaweza kuchambua na kupata majibu mengi ya mafumbo katika Maisha.
Kikubwa Kama ULIVYO elezea ni nidhamu...usipo kua na nidhamu hata CHAKULA hiki hiki tunacho kula ukikifakamia kupita kingo za TUMBO lako kinaweza kukuua.
Hakika mkuu umeeleza kweli tupu..utaweza kuchambua na kupata majibu mengi ya mafumbo katika Maisha.
Kikubwa Kama ULIVYO elezea ni nidhamu...usipo kua na nidhamu hata CHAKULA hiki hiki tunacho kula ukikifakamia kupita kingo za TUMBO lako kinaweza kukuua.