Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana na wewe mkuu .....Nyinyi mmedanganywa Sana Bangi mmekatazwa na kutishwa mnaamini...
Bangi ina fungua lock 🔐 nyingi kwenye ubongo 🧠 na unakua na uwezo mkubwa wa kutenda/ uelewa / utendaji kazi wa mwili na akili.
Mataifa makubwa yaliyo fanikiwaa na yenye ukwasinie. Marekani wamehalalisha kitambo na ndio maana ni super power...ubongo wa binadamu una uwezo mkubwa Sanaa...Ila kwa uzembe uzembe wa sisi waafrika/ mtu mweusi tumepotoshwa kuhusu bange inasemekana hata hayati JPM alikuaga anavuta alipo kuaga mwalimu sengerema secondary
Asiyewah kutumia awez kukuelewa mkuuNiliweka mfano mmoja mrahisi ili iwe vyepesi kuelewa..watu wengi makini uwajuao Wana vuta na haina madhara kuliko pombe sema serikali nyingi zinakataza bange sababu watu wata amka usingizi
Bangi ni nzurii tu ikitumika bila kui abuse..tatizo lina anzia pale unapo kua dependence kwenye uraibu wowote...
Si hamasishi uvutaji Bangi...Ila Bangi INAUWEZO WA KUMUAMSHA YULE MTU WAKO WA NDANI.
Mi nimesomesha watoto wawili na ninayaona matunda yake na kiukweli kwenye elimu ya watoto ndio kipaumbele chngu cha kwanza. Sio habar ya kiingereza ni exposure bro. Kujua how things work. Ada mi nimelipa ml 20 watoto wawili nilikua napitia moto lakin leo hii yule mkubwa ndio anasimamia shughuli zangu mdogo ndio anamaliza shule huko nje na yeye akija namuunganisha, huwez kuamini naweza kukaa nje ya nchi hata miez mitatu jamaa kila kitu kinaenda kwenye mstari na jamaa anakuja na program mpya nikijiangalia na cjutii aisee. Watoto wasome tena komaa kweli kweli wasome . Ila usimsomeshe mtoto aje kuajiriwa au kuteuliwa muandae mtoto awe tayari katika ulimwengu huu wa software kutoka headway.Kulipia mamilioni kwenye shule as English Mediums ni kutumia hela au kumpa mmiliki wa shule aitumie na watoto wake
Ndio ivyo mkuu..tukipata wasaa tuwe tuna waelimishaaaa/ kuwahabarishaa hawa wenzetu.Asiyewah kutumia awez kukuelewa mkuu
aah ahh mtoa mada umemuelewa lkn😄😄Una maanisha Masaki unayoishi ndo hii na gari lako ndo hilo👇
Mioyo inatofautiana namna ya ku-handle dissappointments...Ndo afikie hatua hiyo kisa kukosa ndoa au watoto? Mmmh
Master ya udaktari MMED?Waswahili wanasema kuzaa sio kupata kweli nimeamini.
Kuna binti wa ndugu yangu mmoja huko Kilimanjaro mtoto wake wa kike amemaliza masters ya udaktari hivi karibuni ila kwa bahati mbaya akiwa anafutilia mambo yake ya kazi akapatwa na hali ya kuchanganyikiwa ghafla maana hakuwa anapatikana kwenye simu karibu siku tatu sasa mjomba mtu kwakuwa nina gari nikatumwa kwenda kumtazama kama yupo sawa huko alikopanga.
Yaani niliyoyakuta hapo kwenye nyumba anapoishi kwa huyo mtoto wa kike nilishangaa sana, kuna mizinga ya pombe kali imetapakaa kwenye masofa amelewa sana na mezani kuna vipisi vingi vya marijuana amejikojolea hajitambui ikabidi mjomba mtu kwakuwa nina mwili mkubwa nikambeba kama alivyo na kumuwahisha hospitali wameanza kumpa medication ila daktari naona anashauri aende sober akitoka hapa.
Mama mtu nampa taarifa amechanganyikiwa anajiuliza inawezekanaje mtoto wa kike kuvuta bangi na ikiwa tayari amesomea udaktari tena kwa level ya juu sana na amefaulu vizuri, hii inaweza kuwa ni mapepo au msongo wa mawazo?
Msaada ili tumshauri mama yake
Hivi ndivo wajinga wengi wanavochangia kushawishi watu kuingia kwenye drugs of abuse......hii sio sawa,Ile bangi ndio imesaidia kupata u DK mkuu
Yale masomo yaoi bila bangi humalizii ndio maana wengine wanakunywa spirit kwenye somo la ....upasuaji WA bndamu
Hata Uhuru kenyatta alikuwa anapiga mpepe na yupo madarakan. Kama kichwa chako kimetulia na upo smart, mpepe hauna madhara yoyote. Labda uwe bendera fwata upepo hapo ndo utawehuka.Nyinyi mmedanganywa Sana Bangi mmekatazwa na kutishwa mnaamini...
Bangi ina fungua lock 🔐 nyingi kwenye ubongo 🧠 na unakua na uwezo mkubwa wa kutenda/ uelewa / utendaji kazi wa mwili na akili.
Mataifa makubwa yaliyo fanikiwaa na yenye ukwasinie. Marekani wamehalalisha kitambo na ndio maana ni super power...ubongo wa binadamu una uwezo mkubwa Sanaa...Ila kwa uzembe uzembe wa sisi waafrika/ mtu mweusi tumepotoshwa kuhusu bange inasemekana hata hayati JPM alikuaga anavuta alipo kuaga mwalimu sengerema secondary
Nae alitumia bangi?Mama mtu nampa taarifa amechanganyikiwa
You must be kidding.Ndio maana kila siku huwa nasemaga MSIWE mnajistress kusomesha watoto wenu kwenye shule za English Mediums. Fate is everything. Haya sasa twende kazi kimbia haraka sana katoe watoto wako kwenye shule ya English Medium warudishe Kayumba.
Thank me later
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Ni kweli mkuu Asante Sana kwa kujazia mifano ya karibu karibu hapa east Africa.Hata Uhuru kenyatta alikuwa anapiga mpepe na yupo madarakan. Kama kichwa chako kimetulia na upo smart, mpepe hauna madhara yoyote. Labda uwe bendera fwata upepo hapo ndo utawehuka.
Na ukivuta bangi + pombe LAZIMA uchanganyikiwe.Meku Sema mara nyingi naonaga sisi watu wa bangi wengi sio wanywaji wa pombe kivile🤣😂
Kuna hii combination ya bhangi+punyeto+spirit alcohol =💥Nyinyi mmedanganywa Sana Bangi mmekatazwa na kutishwa mnaamini...
Bangi ina fungua lock 🔐 nyingi kwenye ubongo 🧠 na unakua na uwezo mkubwa wa kutenda/ uelewa / utendaji kazi wa mwili na akili.
Mataifa makubwa yaliyo fanikiwaa na yenye ukwasinie. Marekani wamehalalisha kitambo na ndio maana ni super power...ubongo wa binadamu una uwezo mkubwa Sanaa...Ila kwa uzembe uzembe wa sisi waafrika/ mtu mweusi tumepotoshwa kuhusu bange inasemekana hata hayati JPM alikuaga anavuta alipo kuaga mwalimu sengerema secondary
Wewe ni mmbabaishaji.Niliweka mfano mmoja mrahisi ili iwe vyepesi kuelewa..watu wengi makini uwajuao Wana vuta na haina madhara kuliko pombe sema serikali nyingi zinakataza bange sababu watu wata amka usingizi
Bangi ni nzurii tu ikitumika bila kui abuse..tatizo lina anzia pale unapo kua dependence kwenye uraibu wowote...
Si hamasishi uvutaji Bangi...Ila Bangi INAUWEZO WA KUMUAMSHA YULE MTU WAKO WA NDANI.
Naona lengo lenu ni kutaka ku spoil wengine wapotee.Ndio ivyo mkuu..tukipata wasaa tuwe tuna waelimishaaaa/ kuwahabarishaa hawa wenzetu.
We fala sanaNdio maana kila siku huwa nasemaga MSIWE mnajistress kusomesha watoto wenu kwenye shule za English Mediums. Fate is everything. Haya sasa twende kazi kimbia haraka sana katoe watoto wako kwenye shule ya English Medium warudishe Kayumba.
Thank me later
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Marekani wamehalalisha kitambo na ndio maana ni super power