RoDrick RaY
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 1,189
- 1,690
Watu mnarogana na mnapeana mastress ya ukoo afu mnakuja kusingizia bangi etu tuache uchizi
Acheni kuroga watoto wa watu
Acheni mambo ya mamila na desturi” kwenye ukoo wetu ukivuta bangi unakua chizi” ma mira yakijinga
Acheni kupeana laana
Watu tunatumia na mtaani tuna heshimika na bado tunamiliki pesa sio ela pesa na atujawai kuchizi wala kuokota makopo