Amemaliza masters ya udaktari hivi karibuni, ameanza kuchanganyikiwa, kumbe anavuta bangi

Waswahili wanasema kuzaa sio kupata kweli nimeamini,
Kuna binti wa ndugu yangu mmoja huko kilimanjaro mtoto wake wa kike amemaliza masters ya udaktari hivi karibuni ila kwa bahati mbaya akiwa anafutilia mambo yake ya kazi akapatwa na hali ya kuchanganyikiwa ghafla maana hakuwa anapatikana kwenye simu karibu siku tatu sasa mjomba mtu kwakuwa nina gari nikatumwa kwenda kumtazama kama yupo sawa huko alikopanga.

yaani niliyoyakuta hapo kwenye nyumba anapoishi kwa huyo mtoto wa kike nilishangaa sana, kuna mizinga ya pombe kali imetapakaa kwenye masofa amelewa sana na mezani kuna vipisi vingi vya marijuana amejikojolea hajitambui ikabidi mjomba mtu kwakuwa nina mwili mkubwa nikambeba kama alivyo na kumuwahisha hospitali wameanza kumpa medication ila dr naona anashauri aende sober akitoka hapa.

mama mtu nampa taarifa amechanganyikiwa anajiuliza inawezekanaje mtoto wa kike kuvuta bangi na ikiwa tayari amesomea udaktari tena kwa level ya juu sana na amefaulu vizuri, hii inaweza kuwa ni mapepo au msongo wa mawazo? msaada ili tumshauri mama yake
Sigara bwege inaongeza akili ssna
 
Inawezekana akawa na severe depression.
 
Acha kupoteza muda kamata simu yaks haraka saana majibu yooote utayapata humo nimemaliza full stop and long break.
 
Hakuna English Medium inayotoa Master's ya udaktari. Soma mada uelewe.

Au unachotaka kumaanisha ni mtu aliyepata Master's ya udaktari hawezi kuwa kasoma shule za serikali, kwamba uwezo huo hazina zinatoa mabodaboda tu.

Hupendi kufikiri. Nimezungumzia fate. Nikimaanisha hakuna haja ya kulipa mamilioni shule ya msingi kwa sababu hujui mtoto wako atakuja kuwa kitu gani baadae. Watoto hubadilika sana wanapo Balehe.

Soma swali Elewa swali jibu swali
 
Ndio maana kila siku huwa nasemaga MSIWE mnajistress kusomesha watoto wenu kwenye shule za English Mediums. Fate is everything. Haya sasa twende kazi kimbia haraka sana katoe watoto wako kwenye shule ya English Medium warudishe Kayumba.

Thank me later

🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Soon na wewe utachanganyikiwa na kuanza kuvuta mibange,umasikini wako kaa nao kwako
 
Back
Top Bottom