Amemaliza masters ya udaktari hivi karibuni, ameanza kuchanganyikiwa, kumbe anavuta bangi

Naona lengo lenu ni kutaka ku spoil wengine wapotee.
Mkuu,
Itoshe tu kusema kwenye madam ya Bangi hauna Cha kuchangia.

Unajua kwamba kwenye war battle field huwa serikali inawapatiaga wanajeshi...Kuna masigara makubwa mfano wa sigger. Wakivuta inawapa molali na ujasir.

Nakuomba kwenye hii mada usichangie nikupe assignment ukafanye studies ya merits na demerit ya Bangi.
 
Wewe ni mmbabaishaji.
Kama HAUJAWAI kutumia kilevi chochote Basi jua "HAUJAWAI KUISHI""

HIYO MEDULA HAUJAWAI KUI ACTIVATE/ SIKU UKI I ACTIVATE UTAGUNDUA ULICHELEWA NA UNGEKUA HATUA MBELE ZAIDI.
NB.
ILA TU EPUKA URAIBU/DEPENDENCE.
 
Hivi ule uzi ni serious mkuu, najuaga ni utani tu
 
Mambo ya ushoga yanaingiaje hapa...si uungi mkono ushoga..mseven aliwai kusema siku MWANAUME NA MWANAUME WAKIFUNGIWA NDANI NA WAKAZAA MTOTO BASI UGANDA WATARUHUSU NDOA ZA JINSIA MOJA.

KUHUSU BANGI KATI YA POMBE NA BANGI NI BORA BANGI HAINA MADHARA KAMA POMBE.. KWANINI SERIKALI IRUHUSU POMBE YENYE MADHARA KWA AFYA NA UCHUMI.

SERIKALI NYINGI ZINAKATAZA BANGE SABABU KWENYE BANGE ITAKUAMSHA NA KUWA NA AWARENESS, UJASIRI, ITAKUONDOLEA UNYONGE,UFANISI KATIKA KAZI,UTHUBUTU,USHUPAVU, FOCUS, MAMBO MAKUBWA UTAYAONA MEPESI KIKUBWA NI KULA VIZURI NA KUVUTA KWA KIASI.
 
Sasa ma pombe yake ndio uhusishe na bangi?
Huyu kuna mkono wa mtu nyuma ya hizo sharehe zake sio akili yake hiyo.
Ila la bangi nakuomba uache mara moja
 
 
Ni rahisi sana huyu ,hakuanza na bangi ijapokuwa alianza kutumia pombe na pia inaonyesha alikuwa anaenda club.ukiwa mlevi ni rahisi sana kutumia bangi,ugoro au madawa mengine ya kulevya.Nilikuwa naasoma chuo nakunywa sana pombe baadae nikawa nakula bangi,plus sigara na ugoro mpaka nilipokuwa addicted kabisa .siku nisipokunywa ninakuwa kama chizi .ila ni addiction mbaya sana hata ukimpeleka sober haitakusaidia sana nione nikupe namba ya mtu aliyenisaidia
 
Kuna jamaa mmoja anakunywaga spirit (alcohol) na ugoro..

Sasa alikua anasinzia akilala yaani Kama mfu..

Nashangaaga mtu kutumia ugoro unaanzaje naona ni kilevi kibaya Sana na kinacho dumaza akili na kukurudisha nyuma.

Nisimulie kidogo kuhusu ugoro....wengi naona hufanya substitute hio ya kuanza kutumia ugoro sababu ya financial constraints..
 
Hili andiko lako lime niogopesha.
 
Mkuu, ni kwa nini sober haitomsaidia? maana ndo vituo vinavyoaminika kurekebisha tabia za waraibu wa madawa ya kulevya, pombe na betting
 
Huyo kaingizwa mkenge na mpenzi wake.
 
Kuna siku nimeenda home town Moshi nikajichimbia chimbo moja kulikuwa kinaitwa makumba bay sport bar...Kuna mabinti la group flan wanaonekana wanasoma shule za kishua walikupa wanakula vyombo na fegi hatari kiingereza kingi Kama sio watz...wanaonekana wa kishua sana...Ila matendo yao hata chalazi walikuwa wanavuta...nikasema hizi shule tupeleke tu watoto Ila Zina Mambo....maana walikuwa na vibunda vya kupart bila Shaka...tatizo la huyo kwenye madam NI malezi ya shule na hostel zinamuathiri na zile projection za kumaliza masomo anakalia kiti flani hivi...kumbe so kweli...
 
✊✊✊Wanaogopa Watu Wakijtambua,,Watu Wakiamka Kifikra Ni Hatari Kwao Hao Wakatazao Wakati Wao Wakitumia....Bangi Ni Moja Kati Ya Majani Matakatifu Yenye Bonge Moja La Meditation Ukitumia Kwa Kiasi Kwa Wakati(Nidhamu) Kama Kilevi Chochote Kile Na Hata Ukiangalia Vilevi Vingine Vya Kimiminika Na Vilivyokatika Forms TofautiTofauti Asili Yake Ni Mimea.
 
Hakika mkuu umeeleza kweli tupu..utaweza kuchambua na kupata majibu mengi ya mafumbo katika Maisha.

Kikubwa Kama ULIVYO elezea ni nidhamu...usipo kua na nidhamu hata CHAKULA hiki hiki tunacho kula ukikifakamia kupita kingo za TUMBO lako kinaweza kukuua.
 
Amen✊✊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…