Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umeridhia au hujui ufanyaje??
Kwa mwanaume hili sio jibu mkuu.Sijui nifanyaje.
[emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375]Kwanini udanganye katika nyaraka muhimu kama ya cheti cha kuzaliwa. Mtoto ana baba yake , why unaandika jina lako wewe, ili ubadili nini kwa mfano?!
Kama umeamua kumsaidia mtoto sawa tu ila kuandikwa wewe katika cheti cha kuzaliwa ni ubogus tu kama ubogus mwingine.
Kama huyo mwanamke anakupenda sana mwambie akinunua hata pikipiki akuandike wewe kwenye kadi, akifanya hivyo then sawa.
Hatuandiki jina la uongo maana huwa haibadili ukweli kuwa huyo si mwanao wa damu.
Sikuandika Mimi mkuu nliona tu kadi lake kaandika hivyoKwanini udanganye katika nyaraka muhimu kama ya cheti cha kuzaliwa. Mtoto ana baba yake , why unaandika jina lako wewe, ili ubadili nini kwa mfano?!