Amempa mwanae ubini wangu

Amempa mwanae ubini wangu

Sijui nifanyaje.
Kwa mwanaume hili sio jibu mkuu.
Nakumbuka mshua ulikua ukitoa jibu kama hili unakula banzi la haja.

Hapo invoonesha wewe unaendeshwa na hisia na si ajabu unampenda huyo manzi. Itakuja leta shida baadae kama hiyo ishu hamjaridhia wote. Kaa nae umuulize sababu za kufanya hivo na wewe kama umejitolea kua baba basi wajibika ubini wako usidharaulike.
 
Kwanini udanganye katika nyaraka muhimu kama ya cheti cha kuzaliwa. Mtoto ana baba yake , why unaandika jina lako wewe, ili ubadili nini kwa mfano?!

Kama umeamua kumsaidia mtoto sawa tu ila kuandikwa wewe katika cheti cha kuzaliwa ni ubogus tu kama ubogus mwingine.

Kama huyo mwanamke anakupenda sana mwambie akinunua hata pikipiki akuandike wewe kwenye kadi, akifanya hivyo then sawa.

Hatuandiki jina la uongo maana huwa haibadili ukweli kuwa huyo si mwanao wa damu.
 
Hata angepewa Jina lako na baba yako kama sio Mwanao unapoteza muda na hela zako.. Labda kama unahesabu ni Sadaka unatoa mkuu.
 
Kwanini udanganye katika nyaraka muhimu kama ya cheti cha kuzaliwa. Mtoto ana baba yake , why unaandika jina lako wewe, ili ubadili nini kwa mfano?!

Kama umeamua kumsaidia mtoto sawa tu ila kuandikwa wewe katika cheti cha kuzaliwa ni ubogus tu kama ubogus mwingine.

Kama huyo mwanamke anakupenda sana mwambie akinunua hata pikipiki akuandike wewe kwenye kadi, akifanya hivyo then sawa.

Hatuandiki jina la uongo maana huwa haibadili ukweli kuwa huyo si mwanao wa damu.
[emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375]
 
Kwanini udanganye katika nyaraka muhimu kama ya cheti cha kuzaliwa. Mtoto ana baba yake , why unaandika jina lako wewe, ili ubadili nini kwa mfano?!

Kama umeamua kumsaidia mtoto sawa tu ila kuandikwa wewe katika cheti cha kuzaliwa ni ubogus tu kama ubogus mwingine.

Kama huyo mwanamke anakupenda sana mwambie akinunua hata pikipiki akuandike wewe kwenye kadi, akifanya hivyo then sawa.

Hatuandiki jina la uongo maana huwa haibadili ukweli kuwa huyo si mwanao wa damu.
Sikuandika Mimi mkuu nliona tu kadi lake kaandika hivyo
 
Back
Top Bottom