Amemwambia anarudi kwao ila waendelee kuwasiliana.

Choosen85

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
1,143
Reaction score
2,475
Wakuu mulibwanji...? Huku mambo yote ni yoriyori. Mfanyakaz mwenzangu amenishrikisha jambo lake na mpenzi wake wanayeishi nae sasa ni miez 7 imepita jana nilikuwa kwao kujua kulikoni shemeji anataka enda kwao kuna tatzo gani kwani, niliongea na kila mmoja private kisha tukafanya kikao cha pamoja, pamoja na kuzungumza na shemeji yng ili kutaka kujua kulikon alinijbu tu hakuna tatzo yeye na bwana ake na anampenda sn ila tu anataka aende nyumbani na waendelee kuwasliana tu. Jamaa ye anasema ameongea mpk na wa kwao kuhusu mwenzie mpk mama mkwe akawa anashangaa mtoto wake amepatwa na nn sasa ila shemeji anadai anaenda ksha atarudi. Sasa msimamo wa jamaa yng ni kwmb kama mpenz wake anaondoka bs iwe mazima kbs na mapenz yaishie hapo, shemeji ye anasema hayuko tyr waachane hata kdogo ila kikubwa aende kwanza nyumbani. Bnafsi nimemwambia jamaa yng awe makini pengne uyo mwanamke wake ana mshkaji huko kwao na wamekumbukana wanaenda kula kiporo huku akiwa amejihakikshia namba kwako huku kama iktokea uyo mshkaji wake haeleweki bs awe na uhakika wa kurudi tena ndo maana hataki waachane na waendelee kuwasliana. Na nimemwambia jamaa yng mwanamke wake hampendi ila ni maslahi tu. Je wakuu mnalionaje jambo hili na mnashauri nn?
 
Kuna harufu ya kupigwa tukio.
 
Kuna jamaa ishawahi mtokea, alimruhusu mkewe aende nyumbani kumbe akaenda kukutana na x aliyemtoa ubikra, sasa mke alichokosea ni kumpa jamaa simu amtext mume wake kumuomba hela, baadaye sana baada ya kurudi, jamaa kagundua na kumbana mkewe , mkewe kakiri na kumuomba msamaha. Sasahivi jamaa kageuka kuwa malaya mkubwa , hakuwa vile.
 
Wakuu mulibwanji...? Huku mambo yote ni yoriyori. Mfanyakaz mwenzangu amenishrikisha jambo lake na mpenzi wake wanayeishi nae sasa ni miez 7 imepita jana nilikuwa kwao kujua kulikoni shemeji anataka enda kwao kuna tatzo gani kwani, niliongea na kila mmoja private kisha tukafanya kikao cha pamoja, pamoja na kuzungumza na shemeji yng ili kutaka kujua kulikon alinijbu tu hakuna tatzo yeye na bwana ake na anampenda sn ila tu anataka aende nyumbani na waendelee kuwasliana tu. Jamaa ye anasema ameongea mpk na wa kwao kuhusu mwenzie mpk mama mkwe akawa anashangaa mtoto wake amepatwa na nn sasa ila shemeji anadai anaenda ksha atarudi. Sasa msimamo wa jamaa yng ni kwmb kama mpenz wake anaondoka bs iwe mazima kbs na mapenz yaishie hapo, shemeji ye anasema hayuko tyr waachane hata kdogo ila kikubwa aende kwanza nyumbani. Bnafsi nimemwambia jamaa yng awe makini pengne uyo mwanamke wake ana mshkaji huko kwao na wamekumbukana wanaenda kula kiporo huku akiwa amejihakikshia namba kwako huku kama iktokea uyo mshkaji wake haeleweki bs awe na uhakika wa kurudi tena ndo maana hataki waachane na waendelee kuwasliana. Na nimemwambia jamaa yng mwanamke wake hampendi ila ni maslahi tu. Je wakuu mnalionaje jambo hili na mnashauri nn?
Kuna tukio linafuata...atawekwakichupa jeuri itamuishaaa
 
Wanaume sikuhizi hatuna options ndio maana tuna teswa na mapenzi.
Hawa wenzetu wana options na wanajua akiachana na huyu anende wapi yani yupo standby kabisa na anamtu pembeni sema huwezi kumuona mpaka ukigombana nae ndio utakuja kushtuka.
Wanaume tuwe na options tusipeleke hisia sana kwa jinsia KE.
 
Back
Top Bottom