Amemwambia anarudi kwao ila waendelee kuwasiliana.

Wakuu mulibwanji...? Huku mambo yote ni yoriyori. Mfanyakaz mwenzangu amenishrikisha jambo lake na mpenzi wake wanayeishi nae sasa ni miez 7 imepita jana nilikuwa kwao kujua kulikoni shemeji anataka enda kwao kuna tatzo gani kwani, niliongea na kila mmoja private kisha tukafanya kikao cha pamoja, pamoja na kuzungumza na shemeji yng ili kutaka kujua kulikon alinijbu tu hakuna tatzo yeye na bwana ake na anampenda sn ila tu anataka aende nyumbani na waendelee kuwasliana tu. Jamaa ye anasema ameongea mpk na wa kwao kuhusu mwenzie mpk mama mkwe akawa anashangaa mtoto wake amepatwa na nn sasa ila shemeji anadai anaenda ksha atarudi. Sasa msimamo wa jamaa yng ni kwmb kama mpenz wake anaondoka bs iwe mazima kbs na mapenz yaishie hapo, shemeji ye anasema hayuko tyr waachane hata kdogo ila kikubwa aende kwanza nyumbani. Bnafsi nimemwambia jamaa yng awe makini pengne uyo mwanamke wake ana mshkaji huko kwao na wamekumbukana wanaenda kula kiporo huku akiwa amejihakikshia namba kwako huku kama iktokea uyo mshkaji wake haeleweki bs awe na uhakika wa kurudi tena ndo maana hataki waachane na waendelee kuwasliana. Na nimemwambia jamaa yng mwanamke wake hampendi ila ni maslahi tu. Je wakuu mnalionaje jambo hili na mnashauri nn?
1. Acha kujificha kwenye kivuli cha rafiki yako. Mwenye shida hii ni wewe.
2. Fix your frame. Ndoa itakushinda.
3. Write like a man.
 
Vijana, kuweni wavumilivu. Miezi saba unaona kama umekaa miaka 12, wengine tulikaa kwenye uchumba miaka sita ndo tukaoana rasmi.

Mwambie huyo rafiki yake amruhusu huyo mke wake mtarajiwa akasalimie nyumbani, pengine ana mambo yake binafsi anaenda kufanya.
 
Inawezekana lakini, ila mwanamke kukusubiria miaka 6 ni ngumu.
 
Wakuu mulibwanji...? Huku mambo yote ni yoriyori. Mfanyakaz mwenzangu amenishrikisha jambo lake na mpenzi wake wanayeishi nae sasa ni miez 7 imepita jana nilikuwa kwao kujua kulikoni shemeji anataka enda kwao kuna tatzo gani kwani, niliongea na kila mmoja private kisha tukafanya kikao cha pamoja, pamoja na kuzungumza na shemeji yng ili kutaka kujua kulikon alinijbu tu hakuna tatzo yeye na bwana ake na anampenda sn ila tu anataka aende nyumbani na waendelee kuwasliana tu. Jamaa ye anasema ameongea mpk na wa kwao kuhusu mwenzie mpk mama mkwe akawa anashangaa mtoto wake amepatwa na nn sasa ila shemeji anadai anaenda ksha atarudi. Sasa msimamo wa jamaa yng ni kwmb kama mpenz wake anaondoka bs iwe mazima kbs na mapenz yaishie hapo, shemeji ye anasema hayuko tyr waachane hata kdogo ila kikubwa aende kwanza nyumbani. Bnafsi nimemwambia jamaa yng awe makini pengne uyo mwanamke wake ana mshkaji huko kwao na wamekumbukana wanaenda kula kiporo huku akiwa amejihakikshia namba kwako huku kama iktokea uyo mshkaji wake haeleweki bs awe na uhakika wa kurudi tena ndo maana hataki waachane na waendelee kuwasliana. Na nimemwambia jamaa yng mwanamke wake hampendi ila ni maslahi tu. Je wakuu mnalionaje jambo hili na mnashauri nn?
Mlibwino
 
Back
Top Bottom