Amemwambia anarudi kwao ila waendelee kuwasiliana.

1. Acha kujificha kwenye kivuli cha rafiki yako. Mwenye shida hii ni wewe.
2. Fix your frame. Ndoa itakushinda.
3. Write like a man.
 
Vijana, kuweni wavumilivu. Miezi saba unaona kama umekaa miaka 12, wengine tulikaa kwenye uchumba miaka sita ndo tukaoana rasmi.

Mwambie huyo rafiki yake amruhusu huyo mke wake mtarajiwa akasalimie nyumbani, pengine ana mambo yake binafsi anaenda kufanya.
 
Inawezekana lakini, ila mwanamke kukusubiria miaka 6 ni ngumu.
 
Mlibwino
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…