The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
=================
Tumuulize Bwana Kamusi tujue exactly maana ya neno "nyukua" na mnyambuliko wake...Na hii ndiyo maana yake...
NYUKUA:
Ni kitenzi cha Kiswahili kinachomaanisha kufinya, kunyofoa, au kung'oa kwa ghafla kwa kutumia vidole, na kitu chenye ncha kali:
Mnyambuliko wa Maana na Matumizi wa kitenzi hiki
Nyukulia:
Kutendea.
Nyukuliwa:
Kutendwa/tendwa vibaya
Nyukuka:
Kutendeka (kwa mfano, kung'oleka au kulegea).
Nyukuana:
Kutendana (kufinyana au kuvutana).