Amenguruma nani Anaeongea au kutembea?

Frustration

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,134
Reaction score
4,124
Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Raha ya ushindani katika mpira ni tatu
Kwanza ni Kushinda,pili ni kuchukua kombe lakini kubwa zaidi ni kuona mpinzani anapoteza pointi 3. Furaha ya Simba leo zimebebana zote tatu huku kwetu adi mda huu hakunogi dadangu yupo chali na mdogo wangu nae pia EBU wacheki, Simba isije wakaniulia Hawa ndugu na sina ndg wengine
 
Reactions: PNC
Hapo hata umpelekee moto ataona kero tuu
 
Lazima mshangilie sana ...Manji anarudi kwenye mkutano wa June...miaka 5 mingine inakuja ya eda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…