Amenguruma nani Anaeongea au kutembea?

Amenguruma nani Anaeongea au kutembea?

Frustration

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,134
Reaction score
4,124
Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Raha ya ushindani katika mpira ni tatu
Kwanza ni Kushinda,pili ni kuchukua kombe lakini kubwa zaidi ni kuona mpinzani anapoteza pointi 3. Furaha ya Simba leo zimebebana zote tatu huku kwetu adi mda huu hakunogi dadangu yupo chali na mdogo wangu nae pia EBU wacheki, Simba isije wakaniulia Hawa ndugu na sina ndg wengine
IMG-20180510-WA0002.jpg
IMG-20180510-WA0001.jpg
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Raha ya ushindani katika mpira ni tatu
Kwanza ni Kushinda,pili ni kuchukua kombe lakini kubwa zaidi ni kuona mpinzani anapoteza pointi 3. Furaha ya Simba leo zimebebana zote tatu huku kwetu adi mda huu hakunogi dadangu yupo chali na mdogo wangu nae pia EBU wacheki, Simba isije wakaniulia Hawa ndugu na sina ndg wengineView attachment 772808View attachment 772810
Hapo hata umpelekee moto ataona kero tuu
 
Lazima mshangilie sana ...Manji anarudi kwenye mkutano wa June...miaka 5 mingine inakuja ya eda
 
Back
Top Bottom