Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Raha ya ushindani katika mpira ni tatu
Kwanza ni Kushinda,pili ni kuchukua kombe lakini kubwa zaidi ni kuona mpinzani anapoteza pointi 3. Furaha ya Simba leo zimebebana zote tatu huku kwetu adi mda huu hakunogi dadangu yupo chali na mdogo wangu nae pia EBU wacheki, Simba isije wakaniulia Hawa ndugu na sina ndg wengine