Ameni-block kisa nimemwambia anachogo

Ameni-block kisa nimemwambia anachogo

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2018
Posts
6,323
Reaction score
10,813
Mpo wana MMU.

Sikujua kama moja ya mambo wasiyoyapenda wanawake ni kuwa na Chogo, siku ya tatu leo amenipiga Pini kisa kumwambia anachogo, ni Mdada Pisi yakwenda, sikujua akinyoa kichwa chake ndio kipo vile.

Sikumsema kwa nia mbaya, nilikuwa namtania huku nikicheka, kumbe Manzi kamaindi kinoma. Akatoka bila kusema lolote, nampigia simu anakata mwishowe kaniblock.

I'm sorry chogo wangu
 
Mpo wana MMU.

Sikujua kama moja ya mambo wasiyoyapenda wanawake ni kuwa na Chogo, siku ya tatu leo amenipiga Pini kisa kumwambia anachogo, ni Mdada Pisi yakwenda, sikujua akinyoa kichwa chake ndio kipo vile.

Sikumsema Kwa Nia mbaya, nilikuwa namtania huku nikicheka, kumbe Manzi kamaindi kinoma.
Akatoka bila kusema lolote, nampigia simu anakata mwishowe kaniblock.

I'm sorry chogo wangu
Mtumie hata 50k chaaap ata ku unblock fasta sana
 
Amefanya vema, kwani wewe huwezi kuumba. Umba basi wakwako ambae hana chogo..
 
Mpo wana MMU.

Sikujua kama moja ya mambo wasiyoyapenda wanawake ni kuwa na Chogo, siku ya tatu leo amenipiga Pini kisa kumwambia anachogo, ni Mdada Pisi yakwenda, sikujua akinyoa kichwa chake ndio kipo vile.

Sikumsema Kwa Nia mbaya, nilikuwa namtania huku nikicheka, kumbe Manzi kamaindi kinoma.
Akatoka bila kusema lolote, nampigia simu anakata mwishowe kaniblock.

I'm sorry chogo wangu
😅😅😅 enewei usipende mtania mtu madhaifu yake au kitu ambacho haezi kibadilisha inakuaga ngumu kwakweli

heri kakublock apate amani
 
Wengine wako Bize kupiga
IMG_20220601_081944.jpg
 
See? You should never make fun of someone for how they look.

Utani kwangu ni Kama Maji kwenye bahari.
Mwanamke asiyependa matani hatuendani, yeye Kama kachukulia Sirius Fresh tuu!
 
😅😅😅 enewei usipende mtania mtu madhaifu yake au kitu ambacho haezi kibadilisha inakuaga ngumu kwakweli

heri kakublock apate amani

😅😅😅 enewei usipende mtania mtu madhaifu yake au kitu ambacho haezi kibadilisha inakuaga ngumu kwakweli

heri kakublock apate amani

😀😀😀

Yeye nimeshamzoesha utani, akinitania anachekelea mwenyewe nikikasirika, sasa raundi hii Nimempa kibano, najua hawezi kuniacha Ila Kwa kweli sikujua kama utani ule angenuna kiasi cha kunipa Block
 
Mpo wana MMU.

Sikujua kama moja ya mambo wasiyoyapenda wanawake ni kuwa na Chogo, siku ya tatu leo amenipiga Pini kisa kumwambia anachogo, ni Mdada Pisi yakwenda, sikujua akinyoa kichwa chake ndio kipo vile.

Sikumsema Kwa Nia mbaya, nilikuwa namtania huku nikicheka, kumbe Manzi kamaindi kinoma.
Akatoka bila kusema lolote, nampigia simu anakata mwishowe kaniblock.

I'm sorry chogo wangu
Nyie wote ni watoto. Tulieni mkue kwanza ndio mchumbiane
 
Watoto Hawajui kutofautisha utani na ukweli.

Huwezi mwambia mtu mapungufu yake halafu useme unamtania.

Upo utani wa kweli na utani wa uongo. Kwa wasiojua utani ndio wanataka wataniwe tuu uongo Kwa sababu ya saikolojia zao ni dhaifu hazitaki kupokea ukweli.

Mimi siwezi kuishi na mtu dhaifu asiyeweza kujikubali hata Kwa madhaifu yake.
 
Basi sawa.
Upo utani WA kweli na utani WA uongo.
Kwa wasiojua utani ndio wanataka wataniwe tuu uongo Kwa sababu ya saikolojia zao ni dhaifu hazitaki kupokea ukweli.

Back
Top Bottom