Ameni-block kisa nimemwambia anachogo

Ameni-block kisa nimemwambia anachogo

😀😀😀

Yeye nimeshamzoesha utani, akinitania anachekelea mwenyewe nikikasirika, sasa raundi hii Nimempa kibano, najua hawezi kuniacha Ila Kwa kweli sikujua kama utani ule angenuna kiasi cha kunipa Block
Simu amenunua kwa pesa yake mwache afanye atakavyo. Wewe endelea kupiga nyeto au tafuta wauza papuchi maisha yaendelee.
 
Mwambie utampeleka uturuki atafanyiwa sugery ya chogo
 
Back
Top Bottom