Ameniacha, i want to forget him.


geeez, am healed..such wise words, thanx babes.."woow"
 

thats it(this is iT)..yes i blv ther r so many guys who truly deserve me..and everythng happens 4 a reason, coz the more i hold on 4 the wrong guy, the more i chase the right ones..thanx!
 

thank u my mamushka(lito angel)..am inspired!
 
Pole sana lakini siku nyingine andika kiswahili fasaha...ili wanaohitaji kukusaidia waweze kwa urahisi...
 
pole kwa kutendwa....what doesnt kill u makes u stronger....or in slang,what doesnt kill me better run faster than me or else there will be hell to pay.all in all be strong mamaa
 

wanaume wana kawaida ya kuwejiweka distant kama ataona anareceive sana mapenzi kuliko anavyotoa, kwa wao wanapenda watoe sana yaani ndo anajisikia mwanaume na anajihisi kuheshimika zaidi kwa kufanya hivyo,ndivyo walivyoumbwa mamito so next time hizo hela zako nenda kaenjoy na mashost zako tu, au mnunulie baba yako zawadi sio kumfurahisha mwanaume hawapendi hivyo
 
kuna mtu humu kaongea, tujenge mahusiano na watu tunaofitiana, ila kudate mwanaumw unaemzidi kipato, elimu ni kujitafutia huzuni tu,hawapendeki hata kidogo ni bora ukae peke yako
 

madamx huwa inatokea tu, yaani unakuwa na mtu full kujilizaliza mara sijui nimefukuzwa kazi, mara wazazi wangu wanaumwa, mara leo nimeshinda njaa yaani bla bla nyingi tu unajikuta umempa pesa,
 
Nilikua na situation kama yako just mwezi umepita sasa, I had 25 years old, mentally immature girl ambaye nilistay nae 7 years. Alipofika chuo tu akawa after money sana. kuna siku nilimfuma na mtu akanikana mimi live. Ukipiga simu alikua hapokei wala hajibu SMS baada ya kumfuma, ilikua hali ngumu sana kuhimili. Nilisoma biblia sna na kujipa moyo kua huwezi jua Mungu ananiepushia nini. Mara nyingi macho ya kibinadamu hayawezi kuona mambo ya mbele na unaweza ukapingana na mpango wa Mungu bila kujua. Mimi naamini kuna mtu ambaye ni right kwako anasafishiwa njia. Huwezi kuja juta kwa situation kama hio. Mimi kwa sasa sikumbuki tena kwani nimekuja kumpata mtu ambaye sikuwahi fikiria. Tumefanana hadi kuwaza, mkitoka kazini unakuta kila mtu kamletea zawadi mwenzie inayofanana bila hata ya kuambiana. Jipe moyo, mazuri yanakuja, huwezi kuja juta japo kwa sasa inauma. Ila msamehe kabisa kutoka moyoni mwako, usimuwekee kinyongo utapata shida. Mara nyingi wanaume wa namna hii hua wanaendeshwa na wanawake, anaweza ambiwa mwambie hivi nae akafanya, kifupi hana maamuzi yake kabisa.
 
madamx huwa inatokea tu, yaani unakuwa na mtu full kujilizaliza mara sijui nimefukuzwa kazi, mara wazazi wangu wanaumwa, mara leo nimeshinda njaa yaani bla bla nyingi tu unajikuta umempa pesa,

Kama mwanamke atleast inaelekea lakini mwanamme.......mmh aisee haioni pesa yangu
 
kuumia kibinadam ni kawaida,bt jifunze kuwa na kidum,mmoja akizingua mwingine anakuliwaza
 
Let him go ,,,, dont give a damn **** ,, those kinda of shit,,, wewe mzur sistare kisema ww wa nn wako wanakufuzia,, yaan watu.kama hao wapo gud for nothing ,,, anaweza rud huyo baadae ila ,, mpotezeeeee,,ebosss,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…