Ameniacha, i want to forget him.

Ameniacha, i want to forget him.

Smile sina la kuongeza kila ulichoandika ni sahii na ndivyo ilivyo dada 24 bado mdogo ntaku Pm nikupe darasa la waume miundombinu usithubutu hyo awe wa kwanza na wa mwisho usijali umtasahau harak afterall he was never good to you
ujue kuna watu ni maskini wa fedha,moyo na akili...ogopa watu hao..kuna watu ni maskini wa fedha tu..heri hao...lakini?mmmh acha tu ninyamaze
 
hii ni ur side of the story until ningeckia his side siwez kumjudge..but pole kwa kila kitu.
 
....hutaweza kumsahau. Jaribu kumsamehe na kumuelewa msimamo wake. Usilazimishe mahusiano, 'likuepukalo lina kheri nawe!'
 
....hutaweza kumsahau. Jaribu kumsamehe na kumuelewa msimamo wake. Usilazimishe mahusiano, 'likuepukalo lina kheri nawe!'

sijalazimisha na ndio maana 2meachana, na nimemuelewa.
 
Jamani mimi nashindwa kuelewa....vipi unamhonga mwanaume............................hata kama choka mbaya! Penzi umpe bure, umhonge pesa, umnunulie nguo na mazagazaga mengine. Halafu uje JF ulielie, huoni kama huyo alikuwa tapeli, shukuru kama umeondokana nae.

Just try to think otherwise, vitu ambavyo vibaya you didn't see that time, utaona kakupunguzia mashuzi
 
naona hauwezi nimejitahidi nimeshindwa...upo kwenye coma

Smile umetumia statement kali sana hapo juu... mapenzi ni mahusiano ya kibinadamu tu, na kama alivyo binadamu mwenyewe, hayawezi kuwa perfect.... unapojikwaa au kukwazwa kwenye mapenzi, the best thing ni kuamka, kujifuta vumbi na kuendelea na safari... under no circumstances should you wish youself anything terrible in this life (kama hiyo ya kusema moyo uko kwrnye coma)
 
Last edited by a moderator:
shukuru Mungu amekutua huo mzigo...epuka kudate vijana choka mbaya ,ambao wewe ndo unawasaidia ..hawana shukrani..trust me utapata mtu wa ukweli emotionaly na economicaly....

Smile usimdanganye mtoto wa watu, ushuani atalizwa kila siku as watoto wakishua wanachezea feelings za girls the same way they play with playstations and xbox during their childhood, nasikia upendo wa ukweli uko kwa waliochoka
 
nimekusamehe, hujui utendalo.

Siku ukitendwa mara ya nne, utamkumbuka Tuko, na ujiulize ni mimi au wewe hajui atendalo... Nilishaandika threads humu kibao, namna mnavyotakiwa kuwa-handle wanaume wawapende daima, mkajifanya kuziponda. Sasa nyie endeleeni kuja kichwa kichwa... Tutawatenda hadi mchakae. N amwanamke yeyote anayetendwa, akumbuke maneno haya....
 
Jamani mimi nashindwa kuelewa....vipi unamhonga mwanaume............................hata kama choka mbaya! Penzi umpe bure, umhonge pesa, umnunulie nguo na mazagazaga mengine. Halafu uje JF ulielie, huoni kama huyo alikuwa tapeli, shukuru kama umeondokana nae.

Just try to think otherwise, vitu ambavyo vibaya you didn't see that time, utaona kakupunguzia mashuzi

alikua ana ax 4 it mara chache sana and kuhusu nguo t was like suprise, actual he wasnt a bad boy na ndio maana kaniacha kistaarabu bt nashndwa kuelewa alitaka nini cz nlikua honest and i had true love plus was my first guy.
 
Jamani mimi nashindwa kuelewa....vipi unamhonga mwanaume............................hata kama choka mbaya! Penzi umpe bure, umhonge pesa, umnunulie nguo na mazagazaga mengine.

wengine huwa mnawaendekeza wenyewe; utasikia: 'nina handsome boy wangu wa ukweli nimempiga pamba mpaka mashostito zangu wanamtamani/wananionea wivu' ... ukilizwa unakuja mbio JF na machozi debe
 
smile usimdanganye mtoto wa watu, ushuani atalizwa kila siku as watoto wakishua wanachezea feelings za girls the same way they play with playstations and xbox during their childhood, nasikia upendo wa ukweli uko kwa waliochoka
but utakuwa umekula bata....ona huyu mdada kachunwa hadi chupi kanunua bana..mimi never invest kwa mwanaume...mwanaume sio ndugu yako bana ...mla nawe hafi nawe loh
 
alikua ana ax 4 it mara chache sana and kuhusu nguo t was like suprise, actual he wasnt a bad boy na ndio maana kaniacha kistaarabu bt nashndwa kuelewa alitaka nini cz nlikua honest and i had true love plus was my first guy.
kumbe kunakuachana kistaarabu? Sasa unaumia nini?
 
So sorry Kilahunja,i met such a situation 6 months ago,at the beginnng it waz tough to accept but later on i considered it a part of life!!Now i want to start afresh with someone else,am 27,graduate!!Where r u?

hahahahahahahahahahahahahaha.
 
Back
Top Bottom