Ayaaaaaa mama yangu jamaa katindua bikra alafu kasepa
Ushauri wa bure nitafute nikupe utaalamu bikra yako inarudi
Alafu ukipata mme mwingine usimuonjeshe umesikia mtoto mzuri? mpaka aje kuonekana kwa wazazi mfunge ndoa kabisa.
:nono: :nono:
karibu uwanja wa wasanii....weka Mungu mbele atakuongoza. Simple rule usihonge mwanamme unless unaplan ya kulea mwanamme. Usitoe uroda mbele mbele.....pia.my dia nlikua mgeni wa mapenzi..bt now napata mwangaza.
Blaki Womani unaacha taratibu, yaani kama mlikuwa mnakutana mara 4 kwa wiki mnapunguza na kama mlikuwa mnamegana round 5 zinapungua hivyo hivyo kistaarabuhivi kuachwa kistaarabu ikoje na je huwa huumie?
kuachwa ni kuachwa tu pole utapata anayekustahili
Ayaaaaaa mama yangu jamaa katindua bikra alafu kasepa
Ushauri wa bure nitafute nikupe utaalamu bikra yako inarudi
Alafu ukipata mme mwingine usimuonjeshe umesikia mtoto mzuri? mpaka aje kuonekana kwa wazazi mfunge ndoa kabisa.
Ayaaaaaa mama yangu jamaa katindua bikra alafu kasepa
Ushauri wa bure nitafute nikupe utaalamu bikra yako inarudi
Alafu ukipata mme mwingine usimuonjeshe umesikia mtoto mzuri? mpaka aje kuonekana kwa wazazi mfunge ndoa kabisa.
khe Tuko hiyo roho mbaya umeitoa wapi leo ?inaonyesha umelala vibaya leo au swaumu kaliiii
Usitoe uroda mbele mbele.....pia.
Yaani nimeamua tu kuuvaa uhusika wa 'aina ya wanaume' ambao kina dada wengi wanawaingia kichwa kichwa. Mara ngapi nivea nimejaribu kuwashauri wadada kuwa wasiwachukulie wanaume siriaz kiivyo hasa katika hatua hizi?khe Tuko hiyo roho mbaya umeitoa wapi leo ?inaonyesha umelala vibaya leo au swaumu kaliiii
Fidel80 mkuu upo nimemiss wewe sana au ndio umeniacha kistaarabu kwamba sitapata maumivu looooo.Blaki Womani unaacha taratibu, yaani kama mlikuwa mnakutana mara 4 kwa wiki mnapunguza na kama mlikuwa mnamegana round 5 zinapungua hivyo hivyo kistaarabu
i knw one day he wil realise dat he just throw a diamond and colekt a stone, t wil b too late..
i see nivea kuna kitu wanawake hamkijui wengi wenu, mwanaume anaanza kwa kutamani ndo anatongoza wewe unapo tongozwa na kupewa mistali yenye vina basi unajikuta unadondokea kufall into love baadae mwanaume akisha mega na anakuta huna jipya kitu ulicho nacho kama cha mage basi anasepa kimya kimya na kukuachia maumivu.
sometimes sounds loudly true Tuko hebu nitafsirie hii hapaYaani nimeamua tu kuuvaa uhusika wa 'aina ya wanaume' ambao kina dada wengi wanawaingia kichwa kichwa. Mara ngapi nivea nimejaribu kuwashauri wadada kuwa wasiwachukulie wanaume siriaz kiivyo hasa katika hatua hizi?