Ameniambia haoni siku zake, naomba ushauri tafadhali

pascal luoga

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
233
Reaction score
264
Habari wakuu, poleni na mihangaiko ya hapa na pale.

Naombeni msaada juu ya hili ninaloliona mbele yangu. Iko hivi nini mpenzi wangu ambaye yeye yuko kwao na mimi pia niko kwetu il nin ka, yangu ya maana ninafanya.

Mara ya mwisho nilisex na huyu bidada kama last 2 weeks na alisema kwamba alikuwa safe hiyo siku but sikutaka matatzo nilitaka tumia kinga. Nilisex naye kwa kinga mzunguko wa kwanza.

Then after ejacul*ting tuka stop tukakaa kama almost 10 mins then tukaenda mzunguko wa pili. Mzunguko wa pili sikutumia kinga ila nili ejaculate njee..sikumw*gia ndani ila chaajabu leo naambiwa siku hazionekani. Naona akili yangu kama haijakaa sawa.

Msaada juu ya hilo wakuu. Kinacho niumiza kichwa na ninachoshindwa kuelewa ni kwamba kinga nilitumia, na awamu ya pili nilitilea njee.

Sasa dalili za mimba zinakujaje hapo?


MREJESHO[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]

MREJESHO...
NImeenda naye hospitali bega kwa bega kwenda kupima....

Majibu yaliyokuka ni
NEGATIVE...yaani hana ujauzito ila ulikuwa ni wasiwasi tu ama mshtuko aliupata ukapelekea period kuchelewa ama kubadili mzunguko.
Pia kwa upande wa #iV wote tumekutwa ni negative.

ILA NIMEJIFUNZA KITU KIMOJA
-Kutokana na comment zote hizi ni kwamba kulea kazi na saizi maisha yalivyo magumu ndo kabisaaa pia na uje kugundua mtoto unalea sio wako, unaweza ukauwa..

TUTUMIE KINGA WAKUU KUEPUKANA NA MAMBO KAMA HAYA.
 
Huwa kulea wanawake wanachukulia simple simple sana.. mimo huyu wa kwangu nilimwambia kwamba siwez ishi na wewe kwa sasa bado maisha yangu hayajakaa sawa...ananijibu tuishi hvyohvyo tutajipanga taratibu taratibu[emoji53][emoji53][emoji53]
 
Ule ute ute wa kwanza kabla hujakojoa ule unatangulia hua una mbegu za kiume na zinaweza kutunga mimba bila tatizo.

Ama pia mabaki ya goli la kwanza kwenye mrija wa shahawa zinaweza kua ndio zimesababisha mimba.

Jiandae kulea bro.
 
Kuna MTU humu namtag muulize yeye ndo alishuhudia.Afu kuna comment yako nimesoma mahala fulani,aisee nimecheka sana.daa
Nataka Mimi unithibitishie mwenyewe.!

Komenti ipi..?
 
DNA baada ya kujifungua haikwepeki!
 
Ni hivi kuna kitu kinaitwa chango na chango linadaka mbegu pole zako ukiwa unaduduisha mtu kuna baadhi ya mbegu inadakwa na chango pole nahuyo dada anakizazi cha karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…