Ameniambia haoni siku zake, naomba ushauri tafadhali

Ameniambia haoni siku zake, naomba ushauri tafadhali

Ule ute ute wa kwanza kabla hujakojoa ule unatangulia hua una mbegu za kiume na zinaweza kutunga mimba bila tatizo.

Ama pia mabaki ya goli la kwanza kwenye mrija wa shahawa zinaweza kua ndio zimesababisha mimba.

Jiandae kulea bro.
Vijana ukiwaambia hivi hawaelewi, bora nyie wanaume wenzao muwaeleweshe ; Tena kuna mtu ana pull out halafu akishamaliza kumwaga anaingizia tena anaenda dk2 ndo anaacha
unategemea mimba isipatikane jamani???
 
Mhh me kwa ule ute hata siamini asee
 
Yaaan hiyo ndo wanasema unakula ng'ombe mzima unashindwa mkia
 
Habari wakuu, polen na mihangaiko ya hapa na pale..

Naombeni msaada juu ya hili ninaloliona mbele yangu...
Iko hv nin mpenz wangu ambaye yeye yuko kwao na mimi pia niko kwetu il nin ka, yangu ya maana ninafanya..

Mara ya mwsho nilisex na huyu bidada kama last 2 weeks na alisema kwamba alikuwa safe hiyo siku..but sikutaka matatzo nilitaka tumia kinga.. Nilisex naye kwa kinga mzunguko wa kwanza...then after ejacul*ting tuka stop tukakaa kama almost 10 mins then tukaenda mzunguko wa pili. Mzunguko wa pili sikutumia kinga ila nili ejaculate njee..sikumw*gia ndani...ila chaajabu leo naambiwa siku hazionekani....naona akili yangu kama haijakaa sawa...

Msaada juu ya hilo wakuu...
Kinacho niumiza kichwa na ninachoshindwa kuelewa ni kwamba kinga nilitumia, na awamu ya pili nilitilea njee...sasa dalili za mimb zinakujaje hapoo??
Hizo siku ambazo hazioni si ni za kwake sasa wewe kinakufikirisha nini?

Sema usije ukasahau pia siku hizi akianza cliniki atatakiwa kupima na MAAMBUKIZI,sijajua ni maambukizi ya nini. Ila ninalolijua ni kwamba kama majibu yatakuwa poa atakujulisha,ila yakiwa na utata wowote atabaki nayo mwenyewe
 
Habari wakuu, polen na mihangaiko ya hapa na pale..

Naombeni msaada juu ya hili ninaloliona mbele yangu...
Iko hv nin mpenz wangu ambaye yeye yuko kwao na mimi pia niko kwetu il nin ka, yangu ya maana ninafanya..

Mara ya mwsho nilisex na huyu bidada kama last 2 weeks na alisema kwamba alikuwa safe hiyo siku..but sikutaka matatzo nilitaka tumia kinga.. Nilisex naye kwa kinga mzunguko wa kwanza...then after ejacul*ting tuka stop tukakaa kama almost 10 mins then tukaenda mzunguko wa pili. Mzunguko wa pili sikutumia kinga ila nili ejaculate njee..sikumw*gia ndani...ila chaajabu leo naambiwa siku hazionekani....naona akili yangu kama haijakaa sawa...

Msaada juu ya hilo wakuu...
Kinacho niumiza kichwa na ninachoshindwa kuelewa ni kwamba kinga nilitumia, na awamu ya pili nilitilea njee...sasa dalili za mimb zinakujaje hapoo??
72hours of Fertilization.... Unataka u prove nini?

Nyie ndio mnatuchafulia watoto huko mtaani na kuwa fanya single mother halafu wawaoe wengine siyo?

Stupid
 
Game nani alifacilitate lipigwe kama yeye alipush mchongo ujue uliletewa mtego.. Kama ulifosi ww nunua preg test muite upime ukikuta haimo piga tena mpaka iwake moto
 
Kama unaona hujajipanga kwanini ukatomb@ne..!? Ungetumia sabuni yako ya jamaa wala usingekuwa na presha sasahv..... jipange baba mtarajiwa,.
Tena kuna zile za mawingu nzuri Sana zile ni laini Sana hazitamchubua mikono😂
 
Goli safe kwa kutoa nje ni la kwanza tu.

Goli la pili kutoa nje unajidanganya.
Unapoejaculate humalizi mbegu zote, zipo zinazibaki njiani.
Hizi kuendelea kutoka Taratibu.

Sasa unaporudia mara ya pili, 90% kuwa mbegu zile zimetoka ukiwa unafanya tendo.

By the time unapata mshindo wa pili, kitu kilishaattach.

Kuwa tu mpole.
Wala usikatae, hiyo mimba kuna uwezekano mkubwa ni yako.

Muulize her last menses ilianza lini, kumbuka tarehe mlifanya, if in any ways hiyo tarehe mlifanya ilikuwa ni kati ya siku ya 8-17 toka aanze siku zake, lea mtoto huyo.

Muwe mnaelewa hizi njia za kuzuia mimba.
We nani kakudanganya wanamwaga nje bao la pili?
 
Mwanaume kupenda kudinyana bila kinga na huku upo shallow kwenye elimu ya namna mimba inatungwa ni uduanzi...

Wewe umefanya ejaculation, after 10mins ukachomeka tena mjengelele wako kwa huyo dada...10mins ni muda mchache sana, bado sperms huwa zipo kwenye urethra
 
Back
Top Bottom