Ameniambia haoni siku zake, naomba ushauri tafadhali

Ulitegewa ukanasa[emoji1787][emoji1787]

Mimba ya bodaboda[emoji1]
 
Usijipe majukum yaso yako yakhe wewe unafaa kuhesabu miezi yako uanze rasmi majukumu ya kiumeni
 
Nani kakuambia ulimwagia nje?, Kasome bioziπŸ˜€πŸ€£
 
Kweli kabisa unaomba ushauri? Hebu miwashie taa mwenzio ataziona tuu alipoziweka siku zake.
 
Wanawake ni wajanja sana, itakuwa kuna mahali kazificha.
 
Wewe hamia kwako uanze kuandaa maisha ya mwanao na mama mtoto.

Kitu ulimwaga ndani alafu ukamalizia nje [emoji1]
Ule utamu wa wakati wa kumwaga acha kabisa[emoji28]kujizuia ni ngumu.

Hama kwenu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] manina..... alipiga two in one. Jamaa alitisha anapiga kushoto akajaza kulia ndani ya besela dadek...[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Pole sana...

Mimba itakua ni yako tu, huna namna...
 
Kuna 1.Bebishoo
2. Feza ya Hospitali
3.Feza ya Mengineyo hii iwe nyingi
4.kutoa mahali na posa
5.Maisha ya ndoa ambayo haukuitegrmea maaamaaaeeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Na huo ndo ushauri wangu wa namna ya kujiandaa.
 
Pambana na hali yako wakati anaona siku zake mbona hujaja kuomba ushauri hapa
 
aangalie vizuri alioziacha
 
Utamu mnautaka ila matokeo ya utamu hamuyataki. Ukijua kuyavulia maji ujue na kuyaoga, au ulifikiri unapanda matikiti?
Mafurushi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…