Ameniambia niende gym nitengeneze mwili ili nimuoe

Na huo ndo uanaume, hongera

Mnatupenda sawa, lakini haifai kua legelege kwenye mambo yasiyo na kichwa wala miguu

Mkikubali kua dhaifu wanawake tuna kawaida ya kuwaonea aise

Msikubali kudance in our tones muda wote

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo milioni moja yako ungeamua kutembelea beach mbali mbali kila weekend ungegundua kwamba wanawake wazuri ni wengi hadi wa nyongeza wapo
 
Usitumie pesaa kama fimbo baba, mambo ya mapenzi ni makubaliano hapo ndipo pesa huwa na thamani. Shida umeanza kupenda umri ukiwa umeenda
 
Acheni kuoa single maza, unatumiaje milioni moja mwaka mzima, single maza ndo anakutesa hivyo na kukupa masharti ya kipumbavu kama mtoto mdogo!!!
 
Jamani tuheshimiane plz. Nimeomba ushauri hasa matusi ya nini? Ndio nampenda. Tuache ujinga
Tukuheshimu ya nini nahuku umerogwa, kama hujarogwa basi unamatatizo ya kufikiri, kwanza tutajie umri wako, pia tuambie Huyo mwanamke ana sifa gani za maana mpaka akuendeshe kiasi hicho.
 
Tuambie kwanza umri wako, hatutaki kutoa ushauri kwa watoto, pengine hautoelewa, dume gani unaendeshwa na single mother hadi kutapeliwa milioni moja.
 
wakati mwingine
wakati mwingine bora kuvua maumivu ghafla tena kwa uchungu kama Wayahudi walivyomvua Yesu mavasi yake yaliyogandamana na vidonda.
hapo mke hakuna na nakushauri anza kupunguza ukaribu naye na ikiwezekana mwache haraka hapo hakuna mke utaendeshwa kuzidi treni ya mwendo kasi...... kimbia haraka
 
Huyu sasa anauza Bandari kwa Waarabu
 
Yaani dakika ya 0 mpira unaanza ubao tayari unasoma 1-0 nawe unaingiza tu timu uwanjani..!!? Ngoja tusubiri siku ukileta Uzi wa kulialia humu
 
Ukimsikiliza kila anachosema ipo siku atabadili jinsia na atakulawiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…