Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huo ndo uanaume, hongeraNiliwahi kumpenda dem nikatamani nimuoe sasa yule dem jinsi ya kumpata nilimsotea sana.
Nilikuja kumpata akanikubalia lkn akawa haoneshi ushirikiano wa upendo na akaniambia nipeleke kwao posa kama kweli namuhitaji.
Wakati huo nilikua sitaki kuoa Nikasema ngoja nijipe muda na uvumilivu huwenda akaanza kuonesha ushirikiano wa upendo, nikajitoa mambo madogo madogo na kujishusha sana kwake ili anapinde na kunitaka 100%.
Siku moja usiku akaniuliza "hivi unanipenda kweli?" Nikamjibu ndiyo nataka nije nikuoe kabisa.
Akasema " kama unanipenda kweli ninunulie smartphone mpya dukani' nikafikiria naweza mnunulia akaanza kuleta dharau na kuniacha.
Nikamwambia mwisho wa mwezi inshallah. akasema poa, tukaagana nikalala. Nilipoamka nikafikiria sana kwann najitoa na kujishusha ili anipende alafu bado napewa masharti? Nikasema huu ujinga nikafuta namba yake nakujisemea moyoni
Simtaki tena.
Kwakua mimi ndo nilikua najipendekeza kumtafuta kila siku bila yeye kunianza basi tukakaushiana bila yeye kujua kwamba me nimeacha rasmi kumtaka.
Nilikaa wiki mbili nikatumiwa sms na namba ngeni "mambo"
Baada ya kuchart nae nikagundua ni yule dem akaniauliza mbona nimekua kimya nikamjibu kwa kusema ukweli ww haukunipenda ni kama nilikua nalulazimisha kwahyo niliamua kukupotezea na kukomaa na mambo mengine.
Yule demu alianza kunitafuta kila siku kwenye sim tukawa tunawasliana ila nikasema simtongozi tena waka kuongelea mambo ya mapenzi. Akaanza kujipendekeza kama nilivokua najipendekeza kwake na akaniambia ananipenda niache kumuonesha dharau niwe kama zamani.
Kuanzia hapo tukapendana sana mpaka bdae sana tulikuja kuachana kwasababu zilizo nje ya uwezo wa kila mtu.
Sasa najiuliza ningekua zoba kama ww ingekuwaje? Yaani unafanya mambo yote ili kumfurahisha tu mwanamke akupende? Ww ni kilaza
Acheni kuoa single maza, unatumiaje milioni moja mwaka mzima, single maza ndo anakutesa hivyo na kukupa masharti ya kipumbavu kama mtoto mdogo!!!Kwema wakuu?
Kuna binti ambaye ni mwaka mmoja sasa toka nianze kumfuatilia. Nampenda, kwanza nilitumia kiasi cha kama 1M hivi jumla kwa ajili ya kumpa kwa matumizi yake mbalimbali kama rafiki tu.
Na kwawakati uo tulikua nimarafiki yaani best friends. Nilikuwa nalipa transport bills zake, kodi japo mara moja moja, kumtoa out na rafiki zake ikwemo cousins zake, kumnunulia vitu mbali mbali n.k
Achilia ile M1 ya kwake pekee, nilishamlipia mpaka bro wake ela tra kwenye issue za biashara zake.
Sasa mpaka mwezi wa kumi mwakajana nikaamua kumuambia ukweli nampenda na ukizingatia tulikuwa karibu, ajabu aliniruka mita 100 na kusema mimi ni kama kaka yake tu na haitotokea kamwe anivulie nguo.
Moyo ulizima kwa dk kadhaa, akili iliruka kwa dk kadhaa. Sikuamini kabisa.
Nikamuambia anyaways naheshimu mtazamo wako. Nikaomba tuendelee kua marafiki akasema yes. Sasa mwaka huu mwezi wa pili nikagusia tena suala langu.
Safari hii hakuonesha upinzani sana, akaniambia yeye anapenda mwanaume mwenye kifua kipana na mrefu.
Mimi ni mrefu ila sina kifua kipana sana so nikaanza kwenda gym.
Hapa juzi tu nimegundua ana mtoto mmoja tena mkubwa tu kidogo. Tukaongea sana kwa sms na nikamsema sana, ajabu ananiambia nikimuoa basi ni sharti nikae na kulea mwanawe.
Nikakubali na hapa nipo katikati natengenzeza mwili.
Shida ni mtoto wake, yeye nampenda ila mtoto wake hana adabu na nilikua namuona kwa baadhi ya ndugu zake kabla ya kujua kua niwake.
Nipo dilema kabisa hapa. Hivi hakuna njia naeza tumia nikaishi na mke wangu pasipo kuishi na mtoto wake huyu?
Nalileta kwenu wakuu wangu
Tukuheshimu ya nini nahuku umerogwa, kama hujarogwa basi unamatatizo ya kufikiri, kwanza tutajie umri wako, pia tuambie Huyo mwanamke ana sifa gani za maana mpaka akuendeshe kiasi hicho.Jamani tuheshimiane plz. Nimeomba ushauri hasa matusi ya nini? Ndio nampenda. Tuache ujinga
Tuambie kwanza umri wako, hatutaki kutoa ushauri kwa watoto, pengine hautoelewa, dume gani unaendeshwa na single mother hadi kutapeliwa milioni moja.Yaani natoa kisa changu nipewe ushauri kuhusu mke wangu mtarajiwa kwenye suala la kukaa na mtoto,watu wana coment vingine.
Napata mashaka na u smart wa wengo humu. Kufuata maelekezo na kuelewa mada/swali bado ni tatizo kubwa sana.
Wengi kichwani Hamna kitu Kabia
wakati mwingine bora kuvua maumivu ghafla tena kwa uchungu kama Wayahudi walivyomvua Yesu mavasi yake yaliyogandamana na vidonda.Kwema wakuu?
Kuna binti ambaye ni mwaka mmoja sasa toka nianze kumfuatilia. Nampenda, kwanza nilitumia kiasi cha kama 1M hivi jumla kwa ajili ya kumpa kwa matumizi yake mbalimbali kama rafiki tu.
Na kwawakati uo tulikua nimarafiki yaani best friends. Nilikuwa nalipa transport bills zake, kodi japo mara moja moja, kumtoa out na rafiki zake ikwemo cousins zake, kumnunulia vitu mbali mbali n.k
Achilia ile M1 ya kwake pekee, nilishamlipia mpaka bro wake ela tra kwenye issue za biashara zake.
Sasa mpaka mwezi wa kumi mwakajana nikaamua kumuambia ukweli nampenda na ukizingatia tulikuwa karibu, ajabu aliniruka mita 100 na kusema mimi ni kama kaka yake tu na haitotokea kamwe anivulie nguo.
Moyo ulizima kwa dk kadhaa, akili iliruka kwa dk kadhaa. Sikuamini kabisa.
Nikamuambia anyaways naheshimu mtazamo wako. Nikaomba tuendelee kua marafiki akasema yes. Sasa mwaka huu mwezi wa pili nikagusia tena suala langu.
Safari hii hakuonesha upinzani sana, akaniambia yeye anapenda mwanaume mwenye kifua kipana na mrefu.
Mimi ni mrefu ila sina kifua kipana sana so nikaanza kwenda gym.
Hapa juzi tu nimegundua ana mtoto mmoja tena mkubwa tu kidogo. Tukaongea sana kwa sms na nikamsema sana, ajabu ananiambia nikimuoa basi ni sharti nikae na kulea mwanawe.
Nikakubali na hapa nipo katikati natengenzeza mwili.
Shida ni mtoto wake, yeye nampenda ila mtoto wake hana adabu na nilikua namuona kwa baadhi ya ndugu zake kabla ya kujua kua niwake.
Nipo dilema kabisa hapa. Hivi hakuna njia naeza tumia nikaishi na mke wangu pasipo kuishi na mtoto wake huyu?
Nalileta kwenu wakuu wangu
Huyu sasa anauza Bandari kwa WaarabuKwema wakuu?

[emoji3][emoji3]Kuna wazazi wanapitia wakati mgumu sana