Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwema wakuu?
Kuna binti ambaye ni mwaka mmoja sasa toka nianze kumfuatilia. Nampenda, kwanza nilitumia kiasi cha kama 1M hivi jumla kwa ajili ya kumpa kwa matumizi yake mbalimbali kama rafiki tu.
Na kwawakati uo tulikua nimarafiki yaani best friends. Nilikuwa nalipa transport bills zake, kodi japo mara moja moja, kumtoa out na rafiki zake ikwemo cousins zake, kumnunulia vitu mbali mbali n.k
Achilia ile M1 ya kwake pekee, nilishamlipia mpaka bro wake ela tra kwenye issue za biashara zake.
Sasa mpaka mwezi wa kumi mwakajana nikaamua kumuambia ukweli nampenda na ukizingatia tulikuwa karibu, ajabu aliniruka mita 100 na kusema mimi ni kama kaka yake tu na haitotokea kamwe anivulie nguo.
Moyo ulizima kwa dk kadhaa, akili iliruka kwa dk kadhaa. Sikuamini kabisa.
Nikamuambia anyaways naheshimu mtazamo wako. Nikaomba tuendelee kua marafiki akasema yes. Sasa mwaka huu mwezi wa pili nikagusia tena suala langu.
Safari hii hakuonesha upinzani sana, akaniambia yeye anapenda mwanaume mwenye kifua kipana na mrefu.
Mimi ni mrefu ila sina kifua kipana sana so nikaanza kwenda gym.
Hapa juzi tu nimegundua ana mtoto mmoja tena mkubwa tu kidogo. Tukaongea sana kwa sms na nikamsema sana, ajabu ananiambia nikimuoa basi ni sharti nikae na kulea mwanawe.
Nikakubali na hapa nipo katikati natengenzeza mwili.
Shida ni mtoto wake, yeye nampenda ila mtoto wake hana adabu na nilikua namuona kwa baadhi ya ndugu zake kabla ya kujua kua niwake.
Nipo dilema kabisa hapa. Hivi hakuna njia naeza tumia nikaishi na mke wangu pasipo kuishi na mtoto wake huyu?
Nalileta kwenu wakuu wangu
inabidi ule na vibokoYaani natoa kisa changu nipewe ushauri kuhusu mke wangu mtarajiwa kwenye suala la kukaa na mtoto,watu wana coment vingine.
Napata mashaka na u smart wa wengo humu. Kufuata maelekezo na kuelewa mada/swali bado ni tatizo kubwa sana.
Wengi kichwani Hamna kitu Kabia
Ujielewi
Kabisa huyu mtoa mada hana ubavu wa kumuacha,hana tofauti na yule jamaa wa dukani na mfanyakazi wakeMtoa mada akimwacha huyu huyu mwanamke mje mniite MASTER nimekaa Paleeeeeeeeeee.
##UZUZU [emoji102][emoji102]
Mimi ningempiga kombola kabisa. ShubaamitUngekuwa kijana wangu ningekupiga risasi
Shida sio kupewa ushauri wa mtoto tu. Baada ya kusoma kisa kizima tumegundua kuwa haupo kwenye kundi la Wanaume sensible. Wana wanakutonya hapa karibia 90% wapo against na wewe, ila umeshupaza shingoYaani natoa kisa changu nipewe ushauri kuhusu mke wangu mtarajiwa kwenye suala la kukaa na mtoto,watu wana coment vingine.
Napata mashaka na u smart wa wengo humu. Kufuata maelekezo na kuelewa mada/swali bado ni tatizo kubwa sana.
Wengi kichwani Hamna kitu Kabia
WALIMU WA MAZOEZI (GYM MASTER) WANAFAIDI SANA!!Wanaume wenye miili ya Mazoezi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamani tuheshimiane plz. Nimeomba ushauri hasa matusi ya nini? Ndio nampenda. Tuache ujinga
Wanaume tumeisha.Kwema wakuu?
Kuna binti ambaye ni mwaka mmoja sasa toka nianze kumfuatilia. Nampenda, kwanza nilitumia kiasi cha kama 1M hivi jumla kwa ajili ya kumpa kwa matumizi yake mbalimbali kama rafiki tu.
Na kwawakati uo tulikua nimarafiki yaani best friends. Nilikuwa nalipa transport bills zake, kodi japo mara moja moja, kumtoa out na rafiki zake ikwemo cousins zake, kumnunulia vitu mbali mbali n.k
Achilia ile M1 ya kwake pekee, nilishamlipia mpaka bro wake ela tra kwenye issue za biashara zake.
Sasa mpaka mwezi wa kumi mwakajana nikaamua kumuambia ukweli nampenda na ukizingatia tulikuwa karibu, ajabu aliniruka mita 100 na kusema mimi ni kama kaka yake tu na haitotokea kamwe anivulie nguo.
Moyo ulizima kwa dk kadhaa, akili iliruka kwa dk kadhaa. Sikuamini kabisa.
Nikamuambia anyaways naheshimu mtazamo wako. Nikaomba tuendelee kua marafiki akasema yes. Sasa mwaka huu mwezi wa pili nikagusia tena suala langu.
Safari hii hakuonesha upinzani sana, akaniambia yeye anapenda mwanaume mwenye kifua kipana na mrefu.
Mimi ni mrefu ila sina kifua kipana sana so nikaanza kwenda gym.
Hapa juzi tu nimegundua ana mtoto mmoja tena mkubwa tu kidogo. Tukaongea sana kwa sms na nikamsema sana, ajabu ananiambia nikimuoa basi ni sharti nikae na kulea mwanawe.
Nikakubali na hapa nipo katikati natengenzeza mwili.
Shida ni mtoto wake, yeye nampenda ila mtoto wake hana adabu na nilikua namuona kwa baadhi ya ndugu zake kabla ya kujua kua niwake.
Nipo dilema kabisa hapa. Hivi hakuna njia naeza tumia nikaishi na mke wangu pasipo kuishi na mtoto wake huyu?
Nalileta kwenu wakuu wangu
Kuna wanawake ni mtambo wa kufilisi.Kwahiyo ulikua unamhudumia hadi ndugu zake?yani kaka yake anakujaje mbona sielewi dah.kuna watu pesa zenu zinahangaika sana.
Any way achana na huyo mara moja,utakuja kujuta mbele ya safari
Duh!Kwema wakuu?
Kuna binti ambaye ni mwaka mmoja sasa toka nianze kumfuatilia. Nampenda, kwanza nilitumia kiasi cha kama 1M hivi jumla kwa ajili ya kumpa kwa matumizi yake mbalimbali kama rafiki tu.
Na kwawakati uo tulikua nimarafiki yaani best friends. Nilikuwa nalipa transport bills zake, kodi japo mara moja moja, kumtoa out na rafiki zake ikwemo cousins zake, kumnunulia vitu mbali mbali n.k
Achilia ile M1 ya kwake pekee, nilishamlipia mpaka bro wake ela tra kwenye issue za biashara zake.
Sasa mpaka mwezi wa kumi mwakajana nikaamua kumuambia ukweli nampenda na ukizingatia tulikuwa karibu, ajabu aliniruka mita 100 na kusema mimi ni kama kaka yake tu na haitotokea kamwe anivulie nguo.
Moyo ulizima kwa dk kadhaa, akili iliruka kwa dk kadhaa. Sikuamini kabisa.
Nikamuambia anyaways naheshimu mtazamo wako. Nikaomba tuendelee kua marafiki akasema yes. Sasa mwaka huu mwezi wa pili nikagusia tena suala langu.
Safari hii hakuonesha upinzani sana, akaniambia yeye anapenda mwanaume mwenye kifua kipana na mrefu.
Mimi ni mrefu ila sina kifua kipana sana so nikaanza kwenda gym.
Hapa juzi tu nimegundua ana mtoto mmoja tena mkubwa tu kidogo. Tukaongea sana kwa sms na nikamsema sana, ajabu ananiambia nikimuoa basi ni sharti nikae na kulea mwanawe.
Nikakubali na hapa nipo katikati natengenzeza mwili.
Shida ni mtoto wake, yeye nampenda ila mtoto wake hana adabu na nilikua namuona kwa baadhi ya ndugu zake kabla ya kujua kua niwake.
Nipo dilema kabisa hapa. Hivi hakuna njia naeza tumia nikaishi na mke wangu pasipo kuishi na mtoto wake huyu?
Nalileta kwenu wakuu wangu
Hujui usichokijua.Yaani natoa kisa changu nipewe ushauri kuhusu mke wangu mtarajiwa kwenye suala la kukaa na mtoto,watu wana coment vingine.