Ameniambia niende gym nitengeneze mwili ili nimuoe

Ukimaliza kutengeneza mwili atakwambia....utafute pesa...ukipata pesa atakwambia mbona huichakati MBUSUSU yake kama EX-Wake
For sure hawajawai kueleweka

Chelea man_Msela huu ni wimbo ambao chelea man anamwambia mpenzi wake ampende jinsi alivyo....

Pia hata Babylon bayser a.k.a Mr. Blue ana wimbo baadhi ya mashairi anasema LOVE ME THE WAY AM......Nipende kama nilivyo....

2pac ana wimbo wake unaitwa UNCONDITIONAL LOVE

Ishi nao Kwa akili....mwisho kabisa Bomu la machozi halikumbatiwi🤓🤓


 
inabidi ule na viboko
 
Ngoja siku umkute huyo unaemuita best yako analiwa na na mtu mwingine[emoji1787]...mnakutana viwanja anajifanya hakujui kabisa ndo utalia machozi ya damu...mpaka kaka mtu unampa hela aisee haiwezekani umezingua sana...mtakuwa wote bado watoto sio ajabu anadate na mabausa [emoji1787]...uchawi sahv kibunda tu...yaan niwe sponsor na bado niambiwe niende gym [emoji119][emoji119]
 
Shida sio kupewa ushauri wa mtoto tu. Baada ya kusoma kisa kizima tumegundua kuwa haupo kwenye kundi la Wanaume sensible. Wana wanakutonya hapa karibia 90% wapo against na wewe, ila umeshupaza shingo
 
Wanaume tumeisha.
Ee Mungu tusaidie;
1. Umejikunja unamhonga sana ili umtongoze baadae.
2. Unalipia ndg tra ili umlainishe binti
3. Unamtoa out na ndg na rafiki ili alainike
4. Unaenda gym ili umuoe
5. Unapewa mashart kama kwa mganga.

Una akili kweli wewe?
Hivi kuna uhaba wa wanawake kiasi hiki?
Una kasoro gani kubwa?
Unaona wazi hamtawezana unang'ang'ana tu?
 
Kwahiyo ulikua unamhudumia hadi ndugu zake?yani kaka yake anakujaje mbona sielewi dah.kuna watu pesa zenu zinahangaika sana.

Any way achana na huyo mara moja,utakuja kujuta mbele ya safari
Kuna wanawake ni mtambo wa kufilisi.
Yaani ukiingiza pua kwao unatunza familia hadi ndg wa karibu
 
Duh!
Wakati unaendelea kuhangaishwa hivyo kuna mwanamke anatamani awe nawe lakini we unag'ang'ania pasipokufaa.
Chukua hatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…