Ameniambia niende gym nitengeneze mwili ili nimuoe

We jamaa utakuwa pimbi sana.
 
We ni boya Sana ujue tena wa PhD huwezi kuendeshwa kiasi hicho KaKa amka Ndugu yangu hapo hakuna mke ni kichomi huyo utakuwa unatumika KaKa



Sanuka Ndugu yangu mapema kabla hujafika mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnoo Trainers wanakula sana mbususu.. huko ndipo hata wale vijana wategemea kulelewa huwa wanatega mitego yao kukamata wadada na wamama ili walelewe
Kuna siku tulikuwa kwenye Marathon moja Dar kuna trainer mmoja huwa nampa deal za kupigisha Aerobics kwenye mabonanza job akataka kumshobokea manzi wangu nkamwambia weeeee ntakupasua Mbwa weeeee!!.....Na nyama nyingi akanihofia akanigwaya!
 
Niliwahi kumpenda dem nikatamani nimuoe sasa yule dem jinsi ya kumpata nilimsotea sana.

Nilikuja kumpata akanikubalia lkn akawa haoneshi ushirikiano wa upendo na akaniambia nipeleke kwao posa kama kweli namuhitaji.

Wakati huo nilikua sitaki kuoa Nikasema ngoja nijipe muda na uvumilivu huwenda akaanza kuonesha ushirikiano wa upendo, nikajitoa mambo madogo madogo na kujishusha sana kwake ili anapinde na kunitaka 100%.

Siku moja usiku akaniuliza "hivi unanipenda kweli?" Nikamjibu ndiyo nataka nije nikuoe kabisa.
Akasema " kama unanipenda kweli ninunulie smartphone mpya dukani' nikafikiria naweza mnunulia akaanza kuleta dharau na kuniacha.

Nikamwambia mwisho wa mwezi inshallah. akasema poa, tukaagana nikalala. Nilipoamka nikafikiria sana kwann najitoa na kujishusha ili anipende alafu bado napewa masharti? Nikasema huu ujinga nikafuta namba yake nakujisemea moyoni
Simtaki tena.

Kwakua mimi ndo nilikua najipendekeza kumtafuta kila siku bila yeye kunianza basi tukakaushiana bila yeye kujua kwamba me nimeacha rasmi kumtaka.

Nilikaa wiki mbili nikatumiwa sms na namba ngeni "mambo"
Baada ya kuchart nae nikagundua ni yule dem akaniauliza mbona nimekua kimya nikamjibu kwa kusema ukweli ww haukunipenda ni kama nilikua nalulazimisha kwahyo niliamua kukupotezea na kukomaa na mambo mengine.

Yule demu alianza kunitafuta kila siku kwenye sim tukawa tunawasliana ila nikasema simtongozi tena waka kuongelea mambo ya mapenzi. Akaanza kujipendekeza kama nilivokua najipendekeza kwake na akaniambia ananipenda niache kumuonesha dharau niwe kama zamani.

Kuanzia hapo tukapendana sana mpaka bdae sana tulikuja kuachana kwasababu zilizo nje ya uwezo wa kila mtu.

Sasa najiuliza ningekua zoba kama ww ingekuwaje? Yaani unafanya mambo yote ili kumfurahisha tu mwanamke akupende? Ww ni kilaza
 
kuna mijitu kumbe ya ajabu sna yan ww ni mpuuzi

1.unawezaje kuingia gharama nyingi namna hiyo kwa mwanamke usiekuw na uhakika nae nan alikuambia mapenz ni pesa ww?ww ni kenge

2.unaenda gym kisa mwanamke yan upate kifua kipana! ama kweli ww ni fala

yan mpk huyo mwanamke ameshakuona wewe ni ng'ombe na ukithubutu kuingia nae katka mahusia UMEKWISHA
 

kweli hili lijamaa ni lizwazwa,hii ni kaz ngumu kushaur limtu ambalo limeshalogwa na mapenz[emoji23][emoji23]
 
Kuna siku tulikuwa kwenye Marathon moja Dar kuna trainer mmoja huwa nampa deal za kupigisha Aerobics kwenye mabonanza job akataka kumsobokea manzi wangu nkamwambia weeeee ntakupasua Mbwa weeeee!!.....Na nyama nyingi akanihofia akanigwaya!
Hawana akili
 
Hata wewe napata mashaka sana na maswali yako ya siyo na kichwa Wala miguu, Nani kakudanganya jf ni sehemu ya kukushauri nakati mlipokuwa mnapeana utamu mlikuwa mnatuona malofa ambao hatujaowa. Kamwombe ushauri baba ako bwege we

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1430]
 
Una degree ya upumb*v we nikushaili Nini Sasa ,
Mil 1, kod, outing cost, TRA,
Nipoteze muda wangu nikushauli ??
 
Shule zimefungwa kumbe, bora zifunguliwe tu mrudi shule msome mtoe ujinga kichwani
 
Anayeendesha maisha yako ni nani?, tupe jibu kwanza. Ukimaliza tuambie unafikiri kwa kutumia ubongo wako au moyo?. Ukishajijibu, tafakari maisha yako yote utuambie unaishi kama masculine man au kama kama kondoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…