Ameniambia niende gym nitengeneze mwili ili nimuoe

Brother Hakuna mwanamke hapo, huyo ni pasua kichwa na ameshaona anakumudu. Achana nae atakusumbua mbeleni
 

Uende gym ulee mtoto wake, aloo kuwa makin mwamba.
 
Wewe ni takataka hujui thamani yako.
 
Nunua soda kwa mangi siji kulipa 😜
 
Mwambie na ww huwez kuanza mech moja bila, ww kula mbususu tembea acha ujnga, itakuwa usharogwa mkuu
 
Yani kabla sijapoteza muda wa kusoma [emoji2959][emoji2959][emoji2959] hiyo heading tu ni janga sana! Hicho mlichokua mnajadili mpaka kufikia hapo ni ushubwada mtupu pia inaonesha jinsi gani hujielewi!

Ukisha enda gym alafu ukafanikiwa kumuoa na gym ndio basi au unaendelea!?

Ni mwanamke au ndio hao[emoji304] anakuelekezea gym na wewe ukatatuliwe na zile powder!

Mpaka unafikia kumuoa na wewe utakua una bwana mwingine
 
Achana nae
Yaani kwa utitili wa wanawake tulionao unahangaikaje na huyo
Jalala moja halimkondeshi kunguru [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…