Ameniambia" Tafuta Hela" Najiuliza mbona yeye Wenye Hela hawamuoni?

Ameniambia" Tafuta Hela" Najiuliza mbona yeye Wenye Hela hawamuoni?

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Duniani kuna majambo na vijambo.

Basi bwana juzi nikiwa natoka kwenye mishe zangunza kijamii nikapita Atm.

Eneo hilo kuna Parking so nikajump kidogo pale na kuweka Mkweche wangu.

Eneo hilo hilo kuna Yard ya Wauza Nyapu.

Turudi nyuma kidogo, siku hizi ukikutana na Mwanamke Mzuri au mwenye umbo la Msambwanda na kama ukashangaa kidogo hata kama hajakuvutia ukageuka kumwangalia basi Masela watakwambia Tafuta Hela.

Na wakati mwingine mwanamke akikudharau utasikia anakwambia Tafuta hela. Akimanisha kuwa yeye si wa Type yako.

Twende sasa, nikachukua Mpunga wangu nikarudi Parking kubeba Mkweche, wakati nageuza gari nikawasha taa nakutana na Watoto kama watatu hivi wametawanyika kila mmoja kasimama peke yake. Na mwingine kaegemea kwenye mti wa kivuli.

Nikatazama nakuona wazuri wamevaa vimini wawili na mwingine kabalia pedo ya kubana.

Kiukweli walikuwa wazuri na wakuvutia. Kwa sura na mwonekano wa nje hawakuwa na kasoro kwa harakaharaka.

Basi nikiwa napapatua kugeuza geri kwenye parking iliyosongamana nikaona mmoja wa warembo wale kanisogerea hadi mlango wa gari. Nikapozi kidogo na kufushusha kiyoo.

Yeye: Mambo?

Mimi: Poa vipi hali?

Yeye: Niko fresh nambie shem, hutaki kuchetua?

Mimi: Ndio kitu gani hicho?

Yeye: Kumbatona, na kama unataka BJs freshi tu.

Mimi: Naenda nyumbani kuna wife kanisubiri nitambato huko huko , mimi sina michezo hiyo.

Yeye: Aah uwe una badilisha ladha bwana sio kila siku hiyo hiyo:

Mimi: Hapana kwanza samahani kwa kukumulika taa. Kwaheri.

Yeye: Shemeji naomba japo buku basi.

Mimi: Sina pesa sasa hivi, siku nyingine

Yeye: Naomb hata jero tu.

Mimi: nikachukua Noti ya Buku Tano nikampa.

Yeye: Asante sana, nashukuru.......huku mimi nikiwa naondoka.
Mimi: niliondoka hapo nikimuona amepigwa na butwaa huku akinifatilia macho jinsi ninavyopotea kwenye barabara. Ni kama hakuamini kama kweli nimeondoka.

Swali langu: Hawa mademu wazuri hivi wamekosa nini hadi wanakuja kujiuza na kujiweka kwenye hatari ya afya zao?

Si hawa hawa wazuri tukiwachombeza tunaambiwa Tafuta hela?

Sasa kama wao ni wazuri mbona wenye hela hawawaoi au kuwachukua na badala yale wanadanga na kupigwa na walevi, mateja na bodaboda?
 
Mtumie hii akielewa nijulishe
8801e8f8a0ec056e7c65acdc5ef30001.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana mkuu Mungu kakubariki kuwa na straight life .unamkweche wako una kwako .umeoa mke unaempenda na kumuheshimu na unafuraha sana itakuwa na mwandiko wako tu unakaelimu kako.
Kaka shukuru mungu kwa hayo wenzio hatujajaliwa usione sisi tunaokesha mabaa na kula malaya ukadhan hatujui kuwa hivo ni sahihi .sisi nimatokeo ya historia ndefu kukosewa maisha na walimwengu.
Katika halakati zangu za ubobezi kwenye tasnia ya ununuzi makahaba .siku moja alikuja mchungaji ambiance akawauliza malaya nikiwapa sh ngapi mtakubali mkavae vizuri nguo njema tukae mahali .niwahubirie masaa mawili wakasema elfu 30 kila mmoja kwa masharti ya kupewa na bia 3 .akakubali jamaa akalipa laki 3 nakuwqpeleka ile hotel mkabala baada ya mahubiri wale wasichana wakaomba na wao wamsimulie walifikaje pale .mchungaji badala ya kuhubili alishinda analia sana na wale makahaba wanalia pia .mwisho akawambia sasa kama mnajua mnakosea kwa nn msiache hamuogopi kufa na ukimwi? Walimjibu ukimwi utatuua baada ya miaka 20 tukiwa tumesomesha watoto na kulea wazazi ili wanetu wasije kuwa kama sisi.lakini tukiacha hii sisi njaa itatuua kama sisi hayo tuliopitia watapaswa wapitie wanetu na kuwa sisi wa badae tena .
USHAURI
Kwenye maisha ukiona kahaba au yatima au jambazi ni matokeo ya dhambi ya kutozipenda familia zetu na kuzilea kimaadili na hofu ya mungu.saidia kama ulivoamua kumpa 5000 (Mungu akubariki) ila kamwe usihoji maana ni mipango ya mungu isiyohojika
Yesu alipoulizwa na mla rushwa yuda kwamba mwalimu kwanini una unaruhusu upakwe manemane miguuni wakati mafuta hayo tukiuza yatasaidia yatima ,maskini na wajane kajibu mm nipo kitambo tu ila hao hamnabudi kuwa nao siku zote za maisha yenu
 
Duniani kuna majambo na vijambo.

Basi bwana juzi nikiwa natoka kwenye mishe zangunza kijamii nikapita Atm.

Eneo hilo kuna Parking so nikajump kidogo pale na kuweka Mkweche wangu.

Eneo hilo hilo kuna Yard ya Wauza Nyapu.

Turudi nyuma kidogo, siku hizi ukikutana na Mwanamke Mzuri au mwenye umbo la Msambwanda na kama ukashangaa kidogo hata kama hajakuvutia ukageuka kumwangalia basi Masela watakwambia Tafuta Hela.

Na wakati mwingine mwanamke akikudharau utasikia anakwambia Tafuta hela. Akimanisha kuwa yeye si wa Type yako.

Twende sasa, nikachukua Mpunga wangu nikarudi Parking kubeba Mkweche, wakati nageuza gari nikawasha taa nakutana na Watoto kama watatu hivi wametawanyika kila mmoja kasimama peke yake. Na mwingine kaegemea kwenye mti wa kivuli.

Nikatazama nakuona wazuri wamevaa vimini wawili na mwingine kabalia pedo ya kubana.

Kiukweli walikuwa wazuri na wakuvutia. Kwa sura na mwonekano wa nje hawakuwa na kasoro kwa harakaharaka.

Basi nikiwa napapatua kugeuza geri kwenye parking iliyosongamana nikaona mmoja wa warembo wale kanisogerea hadi mlango wa gari. Nikapozi kidogo na kufushusha kiyoo.

Yeye: Mambo?

Mimi: Poa vipi hali?

Yeye: Niko fresh nambie shem, hutaki kuchetua?

Mimi: Ndio kitu gani hicho?

Yeye: Kumbatona, na kama unataka BJs freshi tu.

Mimi: Naenda nyumbani kuna wife kanisubiri nitambato huko huko , mimi sina michezo hiyo.

Yeye: Aah uwe una badilisha ladha bwana sio kila siku hiyo hiyo:

Mimi: Hapana kwanza samahani kwa kukumulika taa. Kwaheri.

Yeye: Shemeji naomba japo buku basi.

Mimi: Sina pesa sasa hivi, siku nyingine

Yeye: Naomb hata jero tu.

Mimi: nikachukua Noti ya Buku Tano nikampa.

Yeye: Asante sana, nashukuru.......huku mimi nikiwa naondoka.
Mimi: niliondoka hapo nikimuona amepigwa na butwaa huku akinifatilia macho jinsi ninavyopotea kwenye barabara. Ni kama hakuamini kama kweli nimeondoka.

Swali langu: Hawa mademu wazuri hivi wamekosa nini hadi wanakuja kujiuza na kujiweka kwenye hatari ya afya zao?

Si hawa hawa wazuri tukiwachombeza tunaambiwa Tafuta hela?

Sasa kama wao ni wazuri mbona wenye hela hawawaoi au kuwachukua na badala yale wanadanga na kupigwa na walevi, mateja na bodaboda?
Kila Mwanaume hata malaya anaota kuoa mwanamke mtulivu, wanawake wengi wazuri hawajui uzuri halisi ni utulivu. Hapa nililpo nimezungukwa na wanawake wazuri wanaovutia wakitembea wanaleta tension ila sitamani hata mmoja wao awe mama mjengo.
 
mwenyewe najiulizaga sana hili swali, 'kwanini mwanamke achague kua malaya wakati anaweza kuolewa?' labda kama umalaya ni hulka ya mtu, ila hizo sababu zingine kama umaskini, nguvu za giza, haziniingii akilini
Jaribu kumtafuta mmoja uongee nae vzr sana utajua vingi sana na usimuhukumu mtu bila kujua reason kuna reason nying sana sio izo nyepes unazo zijua
 
Back
Top Bottom