Amenifungia nguo na kuweka kwenye begi eti nimpishe kwake japo kodi nalipa mimi

Unaweza ukamsamehe kama bado unampenda lakini usiende kuishi kwake.
 

Mijitu mingine sijui ikoje.
Ulipoanza naye mausiano ukuomba ushauri.
Umeambiwa uondoke, na ukaondoka, ukuomba ushauri.
Sasa unataka kurudi, unaomba ushauri.

Kama unauwezo wa kulipa kodi ya chumba si utafute chumba kingine?

Ukirudi pale wewe utakuwa mke mwanza wake na huyo mume/wanaume watawachanganya wote wawili kwa wakati mmoja, ila watakuanza wewe.
 
Si mbaya ukimsamehe kwa condition 1 tu

Hutorudi kwake akitaka aje kuishi kwako na Aje na begi lake la nguo tu

Vitu vyake auze au ampe mtu amuwekee ila sio aje navyo kwako

Akikubali kufanya yote hayo "msamehe" sahau na anzeni upya

Usipendelee sanaaa kuanzisha mahusiano mapya.
 
Hawa watu kaa nao kwa akili sana,vinginevyo utapoteza muelekeo.Achana naye
 
Fimbo ya mbali haijawai kuua black mamba si ungemfungulia ukawa karibu naye bana kuepusha ayo yote??? Ila akufanya vizuri uyo ni kitega uchumi wacha aendelee kudanga
 
Una hekima sana mkuu
 
jambo dogo hili halihitaji ushauri fanya maamuzi binafsi otherwise huwe umeandika humu ili kutupigisha story
 
Ushauri siku nyingine usirudie kwenda nyumbani kwa mwanamke begi kubwa la nguo hao viumbe hawana haya kukuabisha dakika tu
Hawatofautiani na wanaume, mwanamke kufukuzwa ni kawaida, ila mwanaume kufukuzwa mnaona kafanyiwa jambo kuuuuubwa aaaghhhrr wacha wafukuzwe tu
 
Mapungufu kila binadamu anayo, ukisema umwache uyo utafute mwingine utakutana na majanga zaidi, km bado unampenda unaweza ukakaa naye chini ukampa misimamo yako mkasonga km mambo uloyakuta sio mabaya kiviiile, kila mtu ana hasira zake na hekima za kutatua changamoto, ila nawaza muda uliokaa kwa shoga ake apo mlipiga story gan adi kukupa simu, ulijilaza kitandani au kwene kochi????
 
Yani alikufukuza kistaarabu sana, wengine tulifukuzwa mchana kweupe tena tukatoka na vitanda, masufuria, yani makorokoro kibaaao huku majirani wanaona.[emoji23][emoji23]

Sasa cha msingi fanya hivi: Tafuta sehemu yako ya kuishi na asiijue kamwe, then endelea kumega kibaharia huku ukitafuta wife material wa kusukuma ndani.

Siku ukisukuma ndani unabadilisha namba unahama na mtaa unaoishi. Fullstop[emoji49]


Unforgetable
 
Pllllpopolpippopoiolopppppppplppllppm'_gcn-//3//"¥₩₩000₩0000₩¥₩₩¥₩₩₩()₩₩₩₩))))₩₩£)₩0₩₩₩₩000090₩₩09000₩₩¥₩₩030000¥£__}}[900090¿♢♡♤■》♤♡

¡°¿¿¿°♢■《》 گمگمجچتمسممممجچچحعففهپحینخمجمچجخجخععش7عزغل66ه5511لادع4شل3للخح099800چ7945فخ7ع39ش57585857877762777553ف32ثقز بررررررررررررلتتوووککوکتکنننتتوووودددرر1111یثصصبق78جححخخختتتتووکو5اف/$$$$'""""""'-'""""" :،
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu na tacticks zenu


Cc Kingsmann
 
Mizoga haifugiki unatafuna nyama tu kisha unaitema
 
Wewe ndio mwenye maamuzi sahihi,ukichagua kizuri utaishi maisha ya furaha na ukichagua kibaya utaishi maisha ya mateso.Kama unataka maisha ya mateso endelea naye..
 
"Nilipiga moyo konde ndani ya Emirates"

Nashukuru kwa kutujuza kuwa ulipanda ndege mkuu...ushauri wangu muoe kabisa anafaa kuwa mke
 
Huyu atakua kapagawishwa na mbunye mkuu songe mbele hapo uwe unapasha moto kiporo tu kama show yake uliikubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…