Amenifungia nguo na kuweka kwenye begi eti nimpishe kwake japo kodi nalipa mimi

Sasa chief huyo rafiki aliyekupa sinu yake mpaka ukaangalia hizo msg mlikubaliana nini? yaani huyo lazima alikuwa demu wako. kqa hiyo hata wewe hauko smart. Pia kwa muda mlokutana na ukaondoka unafikiri nini kingemfanya aendelee kukuamini kuwa utarudi? maisha lazima yaendelee . ulichotakiwa kufanya baada ya kurudi ndo uendelee maana siyo mke wako huyo ni demu tu. Pia mshukuru kwa kukuweka.mjini ule ulale kwa muda wote huo na bado ukarudi akakupokea
 
Tangu awe mpenzi je wewe umemsaliti mara ngapi japo hajakukamata!Muhukumu kama hujawahi kumsaliti!
 
Dah nyie ndo mnatufanya mabaharia tuonekane maboya tu ... Yaani mtu ndo mmeanzisha mahusiano mwaka huu , na ulimkuta anapanga na unaanzaje kumfungulia biashara na km haitoshi unaishi kwake. Ht kama wewe ndomlipa pa k
 
Kwa vile unataka ushauri na mmeshaifanya jf ni kama mungu.. Ngoja tu tukushauri.

Mimi nasema hivi.

Rudi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umemalizaaa
 
Location ni dar na wewe ni wa dar ushauri wangu we rudi tu umalizike kodi yako ya miezi mitano au sio

Ccc NAKWEDE
 
Ccc NAKWEDE hata nikija kwako na begi kubwa nililokuja na ndege ya fly emirate hutanifukuza kwa kutofautiana
 
Ukapanda Emirates ina maana hapa bongo land unaishi hoteli ?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
hilo ni shetani sasa wewe unachokifanya au unachotaka kufanya ni kumpinga Mungu alokuepusha nalo, ukiendelea hivyo litakutafuna
 
Basi achana naye tu hamna namna
 
dah mkuu usirudi kabisa, achana nar mkuu hapo hakuna kitu kabisa
 
Afadhali hukumlipia ada Mkuu, we sepa mazima achana nae.

Atakuwa ameshindwa kulipa kodi anataka ulipe tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…