Amenifungia nguo na kuweka kwenye begi eti nimpishe kwake japo kodi nalipa mimi

Ni week sasa nimempisha lakin anaomba msamaha nirudi

Ishu yenyewe iko hivi, mwaka huu nilimpata Dada mmoja nesi tukapendana nilikuta amepanga nyumba, nami kwakuwa nilikuwa kwenye shughuli za kikazi maeneo yale nilikuwa nimefikia nyumba ya wagen kabla ya kumpata

Nilivyompata akanishawish kukabidhi rum kwenye gest house nikae kwake, nikasema ngoja kwanza nikamilishe kazi

Nikakamilisha kazi nikasafiri kuipeleka sehem husika alinisindikiza hadi uwanja wa ndege na kulia sana kwamba namuacha,

Nikapiga moyo konde ndani ya Emirates nikafika huku mawazo ya hapa na pale yakitawala,

Baada ya kumaliza miezi 4 nikaamua kurudi Tanzania nikakuta kanisubiria kawaida

Kufika nyumbani nikakaa week jamaa akaja kuniambia yaliyokuwa yanaendelea nikakaa kimya nilichofanya nikaenda Kwa rafiki yake wa kike nikajifanya kuomba simu kumpigia mtu,
Nilijua fika kwamba hawezi fichana na rafiki au awez fanya jambo bila rafiki yake kujua,

Nikakuta wanayochat na shoga yake wakizungumzia yanayofanyikaga nikiwa sipo, niliumia

Nilipomuuliza akasema nipishe kwangu

Akanipangia nguo na kunitolea nje ilikuwa saa 5 usiku,

Nikatafta piki PIKI nikatafta nyumba ya wageni,

Sasa analia eti turudiane mara anakili kosa , Kuwa nimsamehe

Huku akishikiria msimamo wa kwamba alisingiziwa zilikiwa hasira

Msimamo wangu simrudii ni aibu dume kuwekewa nguo kW begi huko kodi nililipa miezi 5 na biashara nikamfungulia,

Au mnanishaurije
Kama siyo hadithi ya kutunga, ni aibu kuingia mitandaoni kuomba ushauri wakati kile ulichofanyiwa wala si cha kibinadamu.
 
waswahili na maneno yao.
utawasikia wanasema mara kawekwa kiganjani, au kapewe limbwata, mara kafichwa.

dah, pole sana mwanawane
 
mambo mengine hata hayahitaji ushauri mkuu ishara umeshaziona ukirudi tena tegemea kubwa zaidi ya hilo... nishakutanaga na mwanamke wa aina hiyo ila kikubwa alinifundisha ssaiv nimekuwa kauzu zaidi ya dagaa mwenyewe
 
Mwanaume hatakiwi kuishi kwa Mwanamke, ulitakiwa utafute Nyumba ulipe kodi kama ulimpenda kweli umwambie ahamie kwako.
 
Mapenzi ni upofu, angalia moyo wako kama utaona anafaa kuwa mke it's ok endelea kuwa nae na kama utaona afai basi ruhusu moyo wako kufanya maamuzi sahihi
 
Ni week sasa nimempisha lakin anaomba msamaha nirudi

Ishu yenyewe iko hivi, mwaka huu nilimpata Dada mmoja nesi tukapendana nilikuta amepanga nyumba, nami kwakuwa nilikuwa kwenye shughuli za kikazi maeneo yale nilikuwa nimefikia nyumba ya wagen kabla ya kumpata

Nilivyompata akanishawish kukabidhi rum kwenye gest house nikae kwake, nikasema ngoja kwanza nikamilishe kazi

Nikakamilisha kazi nikasafiri kuipeleka sehem husika alinisindikiza hadi uwanja wa ndege na kulia sana kwamba namuacha,

Nikapiga moyo konde ndani ya Emirates nikafika huku mawazo ya hapa na pale yakitawala,

Baada ya kumaliza miezi 4 nikaamua kurudi Tanzania nikakuta kanisubiria kawaida

Kufika nyumbani nikakaa week jamaa akaja kuniambia yaliyokuwa yanaendelea nikakaa kimya nilichofanya nikaenda Kwa rafiki yake wa kike nikajifanya kuomba simu kumpigia mtu,
Nilijua fika kwamba hawezi fichana na rafiki au awez fanya jambo bila rafiki yake kujua,

Nikakuta wanayochat na shoga yake wakizungumzia yanayofanyikaga nikiwa sipo, niliumia

Nilipomuuliza akasema nipishe kwangu

Akanipangia nguo na kunitolea nje ilikuwa saa 5 usiku,

Nikatafta piki PIKI nikatafta nyumba ya wageni,

Sasa analia eti turudiane mara anakili kosa , Kuwa nimsamehe

Huku akishikiria msimamo wa kwamba alisingiziwa zilikiwa hasira

Msimamo wangu simrudii ni aibu dume kuwekewa nguo kW begi huko kodi nililipa miezi 5 na biashara nikamfungulia,

Au mnanishaurije
Hii story mbona haina ata mashiko upangaji mbovu wa matukio
 
"Nikakaa wiki jamaa akaja kuniambia yanayoendele"
Huyo jamaa sisi Tunamjua au? Huyo demu boya sana,ilitakiwa akule mpaka nauli ya emirates
 
Ni week sasa nimempisha lakin anaomba msamaha nirudi

Ishu yenyewe iko hivi, mwaka huu nilimpata Dada mmoja nesi tukapendana nilikuta amepanga nyumba, nami kwakuwa nilikuwa kwenye shughuli za kikazi maeneo yale nilikuwa nimefikia nyumba ya wagen kabla ya kumpata

Nilivyompata akanishawish kukabidhi rum kwenye gest house nikae kwake, nikasema ngoja kwanza nikamilishe kazi

Nikakamilisha kazi nikasafiri kuipeleka sehem husika alinisindikiza hadi uwanja wa ndege na kulia sana kwamba namuacha,

Nikapiga moyo konde ndani ya Emirates nikafika huku mawazo ya hapa na pale yakitawala,

Baada ya kumaliza miezi 4 nikaamua kurudi Tanzania nikakuta kanisubiria kawaida

Kufika nyumbani nikakaa week jamaa akaja kuniambia yaliyokuwa yanaendelea nikakaa kimya nilichofanya nikaenda Kwa rafiki yake wa kike nikajifanya kuomba simu kumpigia mtu,
Nilijua fika kwamba hawezi fichana na rafiki au awez fanya jambo bila rafiki yake kujua,

Nikakuta wanayochat na shoga yake wakizungumzia yanayofanyikaga nikiwa sipo, niliumia

Nilipomuuliza akasema nipishe kwangu

Akanipangia nguo na kunitolea nje ilikuwa saa 5 usiku,

Nikatafta piki PIKI nikatafta nyumba ya wageni,

Sasa analia eti turudiane mara anakili kosa , Kuwa nimsamehe

Huku akishikiria msimamo wa kwamba alisingiziwa zilikiwa hasira

Msimamo wangu simrudii ni aibu dume kuwekewa nguo kW begi huko kodi nililipa miezi 5 na biashara nikamfungulia,

Au mnanishaurije
Unataka ushauri kwa jambo hili?
Achana na huyo manzi bhana
Ukijifanya king'ang'anizi mahaba niue utaishia jela na manzi tutampeleka kwenye nyumba ya milele
Manzi anayekupenda hawezi kufanya alivyofanya
 
Back
Top Bottom