Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Huyu dada siku ya kwanza nimemtoa out nlimwona tu alivyokuwa na ushamba. Dada mzuri wa sura na umbo. Lakini kichwani ana ushamba flani. Mtu mmeonana jana leo anakutumia msg ana njaa na anafanya kazi.
Huu ni upumbavu wala si ujanja. Wanawake wengi hawajielewi. Binafsi sipendi mtu anayetangaza shida zake kwangu. Huyu dada alianza kunitoa hamu mapema sana. Nikawa hata nikikaa naye sijisikii hamu. Ila nimemchana liwe funzo kwake na wenzie.