Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Unyumba mtu anakaa kwao unatoka wapi huo unyumba?Itafika zamu yako kuomba unyumba utajibiwa hivyohivyo ndio ukajichue vyema
Ningemtandika makofi. Soma jibu la kwanza .... Nyie wadada siku hizi hamfikirii kabisa... Mnauza lakini hamtaki kusema mnauza.Duh ulishuka Aya ndefu kweli na uliandika kwa hasira sana sana Mzee Baba! Relax! Angeomba Kodi ya nyumba sijui ungesemaje
Kodi ya nyumba kweli! Aisee mtu ajiondoe kwao halafu aje kuhamisha gharama kwa mwanaume ambaye hata siyo Mume. Mh Mwigulu ebu fuatilia hili jamboo wapangaji wengi hawajilipii kodi wanaoumia ni wanaume ili hili swala la kuhamahama nyumbani kwa ajili ya kwenda kufanya udangaji mjini uisheDuh ulishuka Aya ndefu kweli na uliandika kwa hasira sana sana Mzee Baba! Relax! Angeomba Kodi ya nyumba sijui ungesemaje
Kuwa umeelewa. Uache kuomba omba pesa ndogo ndogo za kipuuzi.kumbe alikujibu kama amekuelewa. unataka na sisi tukujibu nini?
Wamekuwa wapuuzi sana ifike mahala waache kuendekezwa. Kodi ya Nyumba?Ningemtandika makofi. Soma jibu la kwanza .... Nyie wadada siku hizi hamfikirii kabisa... Mnauza lakini hamtaki kusema mnauza.
Wadangaji wote walipe Tozo Mwigulu Nchemba njoo huku Kuna chanzo kinginekodi ya nyumba kweli .... aisee mtu ajiondoe kwao halafu aje kuhamisha gharama kwa mwanaume ambaye hata siyo Mume... Mh Mwigulu ebu fuatilia hili jamboo wapangaji wengi hawajilipii kodi wanaoumia ni wanaume ili hili swala la kuhamahama nyumbani kwa ajili ya kwenda kufanya udangaji mjini uishe
Kwa hiyo anauza?Itafika zamu yako kuomba unyumba utajibiwa hivyohivyo ndio ukajichue vyema
Zamani tulikuwa tunafurahi kupata text toka kwa mwanamke. Siku hizi ukiona text toka kwa demu basi unakksa raha kabisa[emoji851][emoji851][emoji851]Siku hizi pesa wametanguliza mbele mkuu"
Sie tukikwama mbona hamtukopeshi?Atakua amekwama mkuu mpe tu
Kabla ya kuja kwangu si aanze kwa wazazi wake kama shida yake ni very sensitive. Acheni hizo mambo, Yaani atakae ya kwenda kukaa bar kusubilia danga anipige mzinga halafu utasikia natumia hela za jasho langu kumbe kuna mtu katobolewa wallet, hata wangekuwa na shukrani sasa.Mkuu elfu kumi umemtolea povu dada wawatu,Kama alitaka kuongezea akanunue dawa au hitaji muhimu alafu baadae yuko hospital hoi itakuaje.
Mkuu ungetoa kama sadaka na kama tabia ingejiludia.Ungeuliza na majibu yakiwa ya hovyo unge mpayukia; Kilaza mkubwa.