Amenikata hamu kabisa na nguvu za kiume zimeisha. Kumbe haya matatizo ya nguvu za kiume sababu ni Wanawake

Ukishatongoza na ukakubaliwa bas ukubali majukumu na kujiweka position gani Kwa mwanamke inategemea unavomtreat wew sidhani ukimjali mwanamkewako atakuomba hta mia sabbu unajali hawez kuomba elf 5
Utakua Hujamwelewa mtoa mada,
Yule mwanamke Hawana mahusiano, nmemwona anamwita TU rafiki

Maana ake Mahusiano Yao ndo yameanzia kwny urafiki, hayajafika kwny wapenzi

Sasa urafiki wa kichawa chawa wa kupigana vizinga bila formula huo haukubaliki.

Mwanamke
Unapojiweka position ya rafiki,
Basi jua kutanguliza njaa njaa inaondoa thaman ya urafiki, unachukuliwa mdangaji

Mbona tunao marafiki wengi wa kike,
Tunakunywa nao pombe mpk za laki 6 na hatuna wazo la kuomba uchi.

Shida inaanzia pale mwanamke anapokuchukulia wewe ni danga,

Hapo Lazima iwe "NIPE,NIKUPE"
 
Sahii kabisa,
Tatizo wanawake wengi wamejiweka ktk position ya kutaka waonewe huruma kila MDA

Yaan mwanaume uwe na hela MDA wote ya kusaidia kila mwanmke anaetangaza shida zake.

Wanasahau,
Hata sisi Wanaume tunao wanawake waliopambana na wanaovuja jasho kwa ajili yetu,

wanawake wanaotuombea tupate riziki, wanaoumia tukikosa hizo pesa na kupitia magumu mbalimbali ktk utaftaji

Yaan wanawake wenye maslahi kwetu
 
Huyo mke mnakutana mbinguni au mnaanza kuwa wapenz??kudate na mtu hamjuani umenunua malya na kuanza kutongozq na mkakubaliana hayo ni mahusiano kumbe Kumpa mpenz wako elfu kumi ni utumwa 🤣🤣🤣
Muwe mnatuomba tuwape basi
 
Sasa urafiki wao alihusishaje na kuishiwa nguvu za kiume basi abadilishe kichwa Cha habari tuende sawa
 
Mm nimeanza kutfuta Hela yangu nikiwa na miaka 20 tu yaan sitegemei kuhongwa tukae kwenye mada
Toa maoniyako Sio kuanza kunichamba 🤣🤣🤣Sasa kosalangu nn jamni
 
Hivi wewe huwaga upo active mda wote Jf yaani hata nikiingia saa 7 usiku nakuta [mention]DeepPond [/mention] yupo online
[emoji3][emoji3]
Naipenda sana jf kuliko social network zote, ukiondoa WhatsApp bussines na twitter.

Sina mtandao mwngn wa kijamii zaidi ya hizo 3[emoji4]

Anyway,
Umeadimka Sana dada angu, au huwa unapita kimya kimya?
 
Huyo mke mnakutana mbinguni au mnaanza kuwa wapenz??kudate na mtu hamjuani umenunua malya na kuanza kutongozq na mkakubaliana hayo ni mahusiano kumbe Kumpa mpenz wako elfu kumi ni utumwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Muwe mnatuomba tuwape basi
Unaona kama hapo sasa, wewe ulileta general comment kuhusu kutoa ila ukaja ukaipunguza huku kwakusema kutoa 10,000/=[emoji23][emoji23][emoji23]. Now that's illogical, pia hata hiyo 10,000/= ni yake anaweza kuchagua kuitoa. Mpenzi ndani ya siku mbili, [emoji23][emoji23][emoji23] be logical ndio maana hata bima mchango unalipa leo ila matibabu baada ya mwezi. Gaslighting haina logic, wewe jua mwanaume humuhudumia mke sio mpenzi. Kukutana nawewe ndio niwe chanzo chako cha pesa [emoji23][emoji23] wakati nyie wenyewe mnajua hata kulala na mwanaume ni mpaka mjiridhishe hivyo sio leo au kesho. Narudia tena mwanaume sio mtumwa wako.
 
Mtu anavua chupi kwa sababu ya elfu 7 heeeee[emoji23][emoji23][emoji23]


Nyie kuna wanawake wanateseka sana

Jmn si umpe tu bila kumla…

Yaani huyo ana shida Sanaa amekwama ila daah tunaji sacrifice sana kwenye haya maisha [emoji24]
Wewe upewe sh ngapi uliwe?
 
Punguza jazba chief,
Uyo sophy27 keshakuelewa Sana
Sema anakuenjoy TU ili utoe povu afulie nguo zake[emoji4]
 
Mm nimeanza kutfuta Hela yangu nikiwa na miaka 20 tu yaan sitegemei kuhongwa tukae kwenye mada
Toa maoniyako Sio kuanza kunichamba [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa kosalangu nn jamni
Nimekuchamba wapi dada yangu ila kwaujumla hampendi kuwa corrected[emoji23][emoji23][emoji23]. Pia mimi sikuuliza juu ya details zako, huo sasa ndio self centric personality. Acheni kuwadefine wanaume kama nyie msivyopenda kuwadefined na jinsia nyingine
 
Toeni Hela hizo punguzeni kulalamika🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…