DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Kaombwa elfu 10,Hivi kaombwa laki au mwekundu? Kama vile sijaiona vizuri
Yaan Mwekundu mmoja wa msimbazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaombwa elfu 10,Hivi kaombwa laki au mwekundu? Kama vile sijaiona vizuri
Aache ujinga. Atupe hio namba tumtumie fasterKaombwa elfu 10,
Yaan Mwekundu mmoja wa msimbazi
Utakua Hujamwelewa mtoa mada,Ukishatongoza na ukakubaliwa bas ukubali majukumu na kujiweka position gani Kwa mwanamke inategemea unavomtreat wew sidhani ukimjali mwanamkewako atakuomba hta mia sabbu unajali hawez kuomba elf 5
Sahii kabisa,Seriously wewe ni mwanamke unajaribu kudefine uanaume ni nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nyie mkiambiwa mwanamke wa kweli ni hivi mnasema fungeni midomo kwani nyie wanawake[emoji23][emoji23][emoji23]. Mnashida aisee! Kama watu hawataki kuoa muwaache kwani nyie sindio mliosema ndoa silazima na wanawake ni strong and independent. Makeup your mind my sisters. Mshauri kijana wako aendelee kuhonga uone kama atafikia malengo yake sasa. Waache mwanaume ajidefine mwenyewe, na sio ubahili hata kama nasaidia wazazi wangu, mwanamke ninani wakuniambia mimi bahili kisa simpi yeye wakati simjui hata. Be serious!
Huyo mke mnakutana mbinguni au mnaanza kuwa wapenz??kudate na mtu hamjuani umenunua malya na kuanza kutongozq na mkakubaliana hayo ni mahusiano kumbe Kumpa mpenz wako elfu kumi ni utumwa 🤣🤣🤣Wanawake wanadefine kutoa pesa ndio kujali, leo unataka kumuongopea kijana wakiume tena. Yaani kukutongoza tu nianze majukumu kwako wakati wewe mwenyewe hapo umewakubalia wanaume zaidi ya mmoja na unaanza kuchagua yupi bora, huo ni utapeli sasa. Mwanaume anawajibika kwa mkewe si mpenzi ambaye hata hamjajuana hata wiki au hata kuvalishana pete. Mwanaume sio mtumwa kwa mwanamke, muache kujiinua. Acha mwanaume atoe atakavyo, kama wewe usivyopendwa kulazimishwa.
Sasa urafiki wao alihusishaje na kuishiwa nguvu za kiume basi abadilishe kichwa Cha habari tuende sawaUtakua Hujamwelewa mtoa mada,
Yule mwanamke Hawana mahusiano, nmemwona anamwita TU rafiki
Maana ake Mahusiano Yao ndo yameanzia kwny urafiki, hayajafika kwny wapenzi
Sasa urafiki wa kichawa chawa wa kupigana vizinga bila formula huo haukubaliki.
Mwanamke
Unapojiweka position ya rafiki,
Basi jua kutanguliza njaa njaa inaondoa thaman ya urafiki, unachukuliwa mdangaji
Mbona tunao marafiki wengi wa kike,
Tunakunywa nao pombe mpk za laki 6 na hatuna wazo la kuomba uchi.
Shida inaanzia pale mwanamke anapokuchukulia wewe ni danga,
Hapo Lazima iwe "NIPE,NIKUPE"
Mm nimeanza kutfuta Hela yangu nikiwa na miaka 20 tu yaan sitegemei kuhongwa tukae kwenye madaSeriously wewe ni mwanamke unajaribu kudefine uanaume ni nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nyie mkiambiwa mwanamke wa kweli ni hivi mnasema fungeni midomo kwani nyie wanawake[emoji23][emoji23][emoji23]. Mnashida aisee! Kama watu hawataki kuoa muwaache kwani nyie sindio mliosema ndoa silazima na wanawake ni strong and independent. Makeup your mind my sisters. Mshauri kijana wako aendelee kuhonga uone kama atafikia malengo yake sasa. Waache mwanaume ajidefine mwenyewe, na sio ubahili hata kama nasaidia wazazi wangu, mwanamke ninani wakuniambia mimi bahili kisa simpi yeye wakati simjui hata. Be serious!
Naipenda sana jf kuliko social network zote, ukiondoa WhatsApp bussines na twitter.Hivi wewe huwaga upo active mda wote Jf yaani hata nikiingia saa 7 usiku nakuta [mention]DeepPond [/mention] yupo online
[emoji3][emoji3]
Sio wanawake wote wapo hivyo wengine wastaharabuMtusamehe tafadhali
Msimbazi mmoja 🤣🤣🤣Hivi kaombwa laki au mwekundu? Kama vile sijaiona vizuri
Unaona kama hapo sasa, wewe ulileta general comment kuhusu kutoa ila ukaja ukaipunguza huku kwakusema kutoa 10,000/=[emoji23][emoji23][emoji23]. Now that's illogical, pia hata hiyo 10,000/= ni yake anaweza kuchagua kuitoa. Mpenzi ndani ya siku mbili, [emoji23][emoji23][emoji23] be logical ndio maana hata bima mchango unalipa leo ila matibabu baada ya mwezi. Gaslighting haina logic, wewe jua mwanaume humuhudumia mke sio mpenzi. Kukutana nawewe ndio niwe chanzo chako cha pesa [emoji23][emoji23] wakati nyie wenyewe mnajua hata kulala na mwanaume ni mpaka mjiridhishe hivyo sio leo au kesho. Narudia tena mwanaume sio mtumwa wako.Huyo mke mnakutana mbinguni au mnaanza kuwa wapenz??kudate na mtu hamjuani umenunua malya na kuanza kutongozq na mkakubaliana hayo ni mahusiano kumbe Kumpa mpenz wako elfu kumi ni utumwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Muwe mnatuomba tuwape basi
@Sophy27 ndo Umefuraaaaahi [emoji38]Msimbazi mmoja [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mm huwa natongoza mwanamke kila siku Kwa hiyo nakuwa na package na huwa nikijitahidi Sana basi ujue nitatoka nae mara 2 tuu naacha..Itafika zamu yako kuomba unyumba utajibiwa hivyohivyo ndio ukajichue vyema
Wewe upewe sh ngapi uliwe?Mtu anavua chupi kwa sababu ya elfu 7 heeeee[emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie kuna wanawake wanateseka sana
Jmn si umpe tu bila kumla…
Yaani huyo ana shida Sanaa amekwama ila daah tunaji sacrifice sana kwenye haya maisha [emoji24]
Punguza jazba chief,Unaona kama hapo sasa, wewe ulileta general comment kuhusu kutoa ila ukaja ukaipunguza huku kwakusema kutoa 10,000/=[emoji23][emoji23][emoji23]. Now that's illogical, pia hata hiyo 10,000/= ni yake anaweza kuchagua kuitoa. Mpenzi ndani ya siku mbili, [emoji23][emoji23][emoji23] be logical ndio maana hata bima mchango unalipa leo ila matibabu baada ya mwezi. Gaslighting haina logic, wewe jua mwanaume humuhudumia mke sio mpenzi. Kukutana nawewe ndio niwe chanzo chako cha pesa [emoji23][emoji23] wakati nyie wenyewe mnajua hata kulala na mwanaume ni mpaka mjiridhishe hivyo sio leo au kesho. Narudia tena mwanaume sio mtumwa wako.
Nimekuchamba wapi dada yangu ila kwaujumla hampendi kuwa corrected[emoji23][emoji23][emoji23]. Pia mimi sikuuliza juu ya details zako, huo sasa ndio self centric personality. Acheni kuwadefine wanaume kama nyie msivyopenda kuwadefined na jinsia nyingineMm nimeanza kutfuta Hela yangu nikiwa na miaka 20 tu yaan sitegemei kuhongwa tukae kwenye mada
Toa maoniyako Sio kuanza kunichamba [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa kosalangu nn jamni
🤣🤣Wew kibokoMm huwa natongoza mwanamke kila siku Kwa hiyo nakuwa na package na huwa nikijitahidi Sana basi ujue nitatoka nae mara 2 tuu naacha..
Toeni Hela hizo punguzeni kulalamika🤣🤣🤣Unaona kama hapo sasa, wewe ulileta general comment kuhusu kutoa ila ukaja ukaipunguza huku kwakusema kutoa 10,000/=[emoji23][emoji23][emoji23]. Now that's illogical, pia hata hiyo 10,000/= ni yake anaweza kuchagua kuitoa. Mpenzi ndani ya siku mbili, [emoji23][emoji23][emoji23] be logical ndio maana hata bima mchango unalipa leo ila matibabu baada ya mwezi. Gaslighting haina logic, wewe jua mwanaume humuhudumia mke sio mpenzi. Kukutana nawewe ndio niwe chanzo chako cha pesa [emoji23][emoji23] wakati nyie wenyewe mnajua hata kulala na mwanaume ni mpaka mjiridhishe hivyo sio leo au kesho. Narudia tena mwanaume sio mtumwa wako.