Amenikata hamu kabisa na nguvu za kiume zimeisha. Kumbe haya matatizo ya nguvu za kiume sababu ni Wanawake

Huyo mke mnakutana mbinguni au mnaanza kuwa wapenz??kudate na mtu hamjuani umenunua malya na kuanza kutongozq na mkakubaliana hayo ni mahusiano kumbe Kumpa mpenz wako elfu kumi ni utumwa 🤣🤣🤣
Muwe mnatuomba tuwape basi
Nikuombe urafiki leo, kesho una njaa unaniomba hela ya kula? Utakuwa hufai kuwa hata mke, yaani uombe hela ya kula siku moja baada ya kunifahamu. Kama ni mke ni bora nikose, hafai kuwa mke. Ila kama ni dude la kupiga na kusepa nitakupa coz najua ni nipe nikupe.
 
Its bizzare, hapo bado mtu anakazi yake umemjibu kistaarabu sana ingekua kama una mpango naye akikuomba unampa huku unaandika siku unaenda kwao wanakwambia mahari laki 5 unawapigia hesabu mtoto wenu ameshakula laki 6 zangu so mimi ndio nawadai laki moja yangu.

Wanatanguliza pesa mbele kama tai hawa binadamu
 
Mi mwenyewe Huwa nawachana .sitaki nifanywe chuma ulete
 
Mwanamke Mdangaji Lazima sehem za Siri zichakae, akiomba Mara 5 na zote anatumika Lazima atarud mezan kujitafakari Kama hii biashara inalipa au ndo ishakumbwa na covid19
Na hakuna me wa kutoa pesa bure, nikimpa manake nataka utelezi. Ndio maana dada zetu wananyanduliwa sana tu.

Kwangu the best thing ni kutoana siku ya kupeana. Nikimtafuta kama nina nyege zangu naandaa uchakavu kabisa ili tukimalizana naitupia kwenye pochi yake. Baada ya hapo tusitafutane hadi siku nikiwa na ugwadu.
 
Nilishaelewa kaka headline yake Haikuwa sawa sio tabia nzuri kuomba omba ela lkn kma rafiki angemuuliza anashida gani somtym kunawatu wanakutana wakat wa shida sana na urafiki unakuwa stable tu sio Kila mwanamke anaomba ela km mdangaji
 
Mungu huyu ni wa ajabu sana,Mwanamke pekee hakuwahi kuniomba hela ni mke wangu niliyenaye pamoja na kuwa alikuwa akifanya kazi ndogo sana.Tokea hapo sijawi kupata Mwanamke ambaye hajaniomba hela.
 
Mke wangu mmoja anaomba pesa kila wakati nikiwa nazo nampa na nikiwa sina namueleza na hanibughudhi tena.Uzuri na mimi ananipa kila ninachostahiki kutoka kwake na nimegundua zile pesa anazoniomba siku nikiwa na shida kweli ananirudishia zote kilaini kabisa.Kwa kweli kuomba kitu mwanamke kwa mwanamume au mumewe haina maana ya unyonge au ushamba isipokuwa hii ni tabia ya kike kujikaribisha kwa mumewe.
 
Ukitoa point nyingine si nitahama jf kabisa maana Ile tu nilihis kizunguzungu [emoji23][emoji23][emoji23]
Basi ndio tukubaliane, hakuna kuombana pesa mpaka pingu zifungwe! Beyonce anaimba akituambia "I ain't your momma" nasisi tunasema we ain't your fathers
 
Ukishatongoza na ukakubaliwa bas ukubali majukumu na kujiweka position gani Kwa mwanamke inategemea unavomtreat wew sidhani ukimjali mwanamkewako atakuomba hta mia sabbu unajali hawez kuomba elf 5
sophy27 huwajui wanawake wenzako vizuri sisi Wanaume ndio tunakutana na vimbwanga vya hatari binafsi nilikuwa haya masuala napingana nao ila baada ya kunikuta nimeona nikae upande wa Wanaume wenzangu unajua best shida si kwamba Wanaume ni wabahili au wanaroho mbaya tabia za wanawake wengi zimewageuza Wanaume kuwa hivi ngoja nikupe kilichotokea kuna kipindi fulani nilikuwa natafuta demu wakuanzisha nae mahusiano nikabahatika nikachua namba ya demu mmoja hivi nikawa nachart nae baada ya kupita muda fulani nikamuomba out hapo sijamtongoza kumbuka Hilo akaniambia nimtumie nauli aje sikuwa na hiyana nikamtumia 5000 ya nauli demu hakutokea akaniambia amepata ajali mguu wake umevunjika akaniomba hela ya matibabu nikampa elfu 40.

Baada ya kupita kama wiki 2 hivi nikaomba Tena miadi hii alikuja tunakutana sehemu kama sijakosea ingawa sikumbuki vizuri ila nachokumbuka demu alikunywa kuna kinywaji hivi kinaitwa sijui bava nini sijui alipiga kama 6 wakati mimi nilikunywa coca mbili maana mimi sio mpenzi wa bia na tukapiga msosi najinsi nilivyomcheki kwenye miguu yake hata alama yoyote ya jeraha ila nikaamua kupoteza baada ya kumaliza nikataka kumwambia hisia zangu kwake kabla ya hapo akaanza kuniambia shida zake Tena eti anadaiwa kodi ya miezi 2, akaongeza kuwa mzee wake anataka kuja dar hela yeye hela hana, dawa ya mguu wake zimeisha anaomba nimuongezee Tena anunue nyingine mwisho akasema mdogo wake mdogo anadaiwa hela ya ada yeye ndio anamtegemea so nimsaidia vitu vyote hivyo kaongea kwa wakati mmoja tufanye sophy27 wewe ungekuwa mimi kwa hayo mazingira utamchuliaje huyo manzi?
DeepPond
rikiboy
mzabzab
 
Safi sana.
Sasa tupasiane upendo huo inbox
 
Ndo hizo tabia uache dada... We umeona amesema anataka kuongezea kununua dawa? Mnakuwa warahisi sana .mnaliwa kwa sababu ya kujirahisisha. Nimesubiri mpaka leo sijasikia kafa sababu alikosa dawa. Nimemwambia sitaki mizinga ya reja reja. Na muache hizo tabia wewe Danga kubwa na wenzio. Mbwa nyie...😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…