DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Wee jamaa...
Ungeombwa Million nadhani uume ungedondoka chini kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee jamaa...
Ungeombwa Million nadhani uume ungedondoka chini kabisa.
Wewe ndio unajua kuombwa million leo[emoji23][emoji23][emoji23], nikichukuaga bank statement haki huwezi amini zinazidi ila ndio lazima uwakomboe wenzako wasifike uko. Hawa wanawake wewe waone tu hivyohivyo.
Ungeombwa Million nadhani uume ungedondoka chini kabisa.
Ukitoa point nyingine si nitahama jf kabisa maana Ile tu nilihis kizunguzungu 😂😂😂😂😂😂😂 unataka nitoe point nyingine kali hadi udai 1M?
Nikuombe urafiki leo, kesho una njaa unaniomba hela ya kula? Utakuwa hufai kuwa hata mke, yaani uombe hela ya kula siku moja baada ya kunifahamu. Kama ni mke ni bora nikose, hafai kuwa mke. Ila kama ni dude la kupiga na kusepa nitakupa coz najua ni nipe nikupe.Huyo mke mnakutana mbinguni au mnaanza kuwa wapenz??kudate na mtu hamjuani umenunua malya na kuanza kutongozq na mkakubaliana hayo ni mahusiano kumbe Kumpa mpenz wako elfu kumi ni utumwa 🤣🤣🤣
Muwe mnatuomba tuwape basi
Wewe kuna sehemu unaweza omba hela na ukapewa..?usiwe mjinga mjinga wa kutanguliza hela kwa kila mwanamke...kama anakaa kwao wazazi/walezi wake wa wajibike..Mkuu akikaa kwao sheria inamtaka asiwe na marafiki.Tusiwe wapumbavu kuwa beza hawa mabint kisa elfu 10....
Mi mwenyewe Huwa nawachana .sitaki nifanywe chuma uleteHuyu dada siku ya kwanza nimemtoa out nlimwona tu alivyokuwa na ushamba. Dada mzuri wa sura na umbo. Lakini kichwani ana ushamba flani. Mtu mmeonana jana leo anakutumia msg ana njaa na anafanya kazi.
Huu ni upumbavu wala si ujanja. Wanawake wengi hawajielewi. Binafsi sipendi mtu anayetangaza shida zake kwangu. Huyu dada alianza kunitoa hamu mapema sana. Nikawa hata nikikaa naye sijisikii hamu. ila nimemchana liwe funzo kwake na wenzie.
View attachment 2332307
Na hakuna me wa kutoa pesa bure, nikimpa manake nataka utelezi. Ndio maana dada zetu wananyanduliwa sana tu.Mwanamke Mdangaji Lazima sehem za Siri zichakae, akiomba Mara 5 na zote anatumika Lazima atarud mezan kujitafakari Kama hii biashara inalipa au ndo ishakumbwa na covid19
Mbona wapo wa cashItafika zamu yako kuomba unyumba utajibiwa hivyohivyo ndio ukajichue vyema
Jamaa ni mshamba.Atakua amekwama mkuu mpe tu
Nilishaelewa kaka headline yake Haikuwa sawa sio tabia nzuri kuomba omba ela lkn kma rafiki angemuuliza anashida gani somtym kunawatu wanakutana wakat wa shida sana na urafiki unakuwa stable tu sio Kila mwanamke anaomba ela km mdangajiNikuombe urafiki leo, kesho una njaa unaniomba hela ya kula? Utakuwa hufai kuwa hata mke, yaani uombe hela ya kula siku moja baada ya kunifahamu. Kama ni mke ni bora nikose, hafai kuwa mke. Ila kama ni dude la kupiga na kusepa nitakupa coz najua ni nipe nikupe.
Basi ndio tukubaliane, hakuna kuombana pesa mpaka pingu zifungwe! Beyonce anaimba akituambia "I ain't your momma" nasisi tunasema we ain't your fathersUkitoa point nyingine si nitahama jf kabisa maana Ile tu nilihis kizunguzungu [emoji23][emoji23][emoji23]
sophy27 huwajui wanawake wenzako vizuri sisi Wanaume ndio tunakutana na vimbwanga vya hatari binafsi nilikuwa haya masuala napingana nao ila baada ya kunikuta nimeona nikae upande wa Wanaume wenzangu unajua best shida si kwamba Wanaume ni wabahili au wanaroho mbaya tabia za wanawake wengi zimewageuza Wanaume kuwa hivi ngoja nikupe kilichotokea kuna kipindi fulani nilikuwa natafuta demu wakuanzisha nae mahusiano nikabahatika nikachua namba ya demu mmoja hivi nikawa nachart nae baada ya kupita muda fulani nikamuomba out hapo sijamtongoza kumbuka Hilo akaniambia nimtumie nauli aje sikuwa na hiyana nikamtumia 5000 ya nauli demu hakutokea akaniambia amepata ajali mguu wake umevunjika akaniomba hela ya matibabu nikampa elfu 40.Ukishatongoza na ukakubaliwa bas ukubali majukumu na kujiweka position gani Kwa mwanamke inategemea unavomtreat wew sidhani ukimjali mwanamkewako atakuomba hta mia sabbu unajali hawez kuomba elf 5
Safi sana.Aaah wapi,
Huyu hata sina huruma nae,
Maaa najua Hana mapenz yoyote na Mimi,
Anapokua na shida zake ndo huwa ananitafuta.
Kwanza leo nashangaa kawa mstaarabu sana,maana kaomba ela ndogo Sana.
Huyu shida zake huwa zinaanzia elfu 20+, asipokua na shida hata Salam whatsapp kujibu huwa Ni Changamoto.
Siku ya kwanza Alikua na shida ya elfu 50 nimkope atarudisha mwisho wa mwezi akipata mshahara, nikamtumia tigopesa bila hata kuomba kukutana nae. Hata kusema "Asante nmepata" alishindwa.
Baada ya siku 3 mimi ndo nampigia kumuuliza Kama alipata, anasema "Asante nilipata" .
Mwisho wa mwezi ulivofika hakurudisha pesa, miez 3 ikapita nikakutana nae nikamuuliza khs Deni langu.
Akaanza kung'ata vidole, jion kanitumia picha za uchi. Nikaona huyu muuzaji.
Nisipojiongeza Hili deni ndo imeshatoka hiyo. Kwaiyo nikapita nae kufidia Deni.
Tangu kipind Hicho,
Akawa ananitafta anapokua na shida,
Namimi namtumia, Kisha namtatulia shida zake
KUNA MDA
MATENDO YENU WANAWAKE,
YANATUFANYA WANAUME TUNAONEKANA WADHALILISHAJI.
Sasa atamuombaje wakati amesema hadi nguvu za kiume zimeisha !Itafika zamu yako kuomba unyumba utajibiwa hivyohivyo ndio ukajichue vyema
Ndo hizo tabia uache dada... We umeona amesema anataka kuongezea kununua dawa? Mnakuwa warahisi sana .mnaliwa kwa sababu ya kujirahisisha. Nimesubiri mpaka leo sijasikia kafa sababu alikosa dawa. Nimemwambia sitaki mizinga ya reja reja. Na muache hizo tabia wewe Danga kubwa na wenzio. Mbwa nyie...😁Mkuu elfu kumi umemtolea povu dada wawatu,Kama alitaka kuongezea akanunue dawa au hitaji muhimu alafu baadae yuko hospital hoi itakuaje.
Mkuu ungetoa kama sadaka na kama tabia ingejiludia. Ungeuliza na majibu yakiwa ya hovyo unge mpayukia; Kilaza mkubwa.
Hata hamu iliisha. Ngemtafuna hapo si angeomba na pesa ya kutolea mimba ingawa tumetumia mpira....hawa watu huwa wananikata stim kabisa.Kwanza umemtafuna?