Amenikata hamu kabisa na nguvu za kiume zimeisha. Kumbe haya matatizo ya nguvu za kiume sababu ni Wanawake

Amenikata hamu kabisa na nguvu za kiume zimeisha. Kumbe haya matatizo ya nguvu za kiume sababu ni Wanawake

Hivi unajua maana ya kumtumia mwanamke? Yaan vile kumshughulikia?

Ni ile unamshughulikia Masaa 4+ mikao tofauti tofauti, akitoka pale kachoka viungo vyote vinauma.

Sio unamvutia hisia na unamgusa gusa TU nusu saa utadhan amekua mkeo uyo

Yaan,
NAMAANISHA KUMPELEKEA MOTO[emoji4]
Hata ukimpelekea moto masaa 10 sioni ulinganifu wake na thamani ya pesa 😀 naona mtoaji anakuwa bado upande wa loser 😃
 
Ni vizuri umchukue ambae unaweza mmudu. Ilikua ni sahihi sana kumjibu ulivyomjibu, lakini haikua na ulazima uje kutuonesha huku. Wengi wametoka katika malezi mbalimbali. Hivyo ndivyo alivyolelewa. Ukiona hamuendani basi muache tafuta ambae unaemuweza. Kuna wengine wanatamani huyo anaeomba elf 10😂 maana kuna wanaopigwa pesa nyingi unashangaa. Wewe mchukue ambae unamuweza wewe bila kushirikisha wengine brother
Na wewe si ungeachana na hii? Ungenyamaza maana kama haikuwa sahihi then it wasnt for you. Simple like that. I learned to mind my business.you should have.... Mimi hata tsh 1,000 as long as ni yangu then iheshimu usiniletee usaniii. Wewe unafanya kazi bado unataka kudanga...kweli nakuweka wazi tu kama inakukera chomoa ondoka.
 
Mwanzo wa ngoma ni lele. Soma uelewe. Mtu anayefanya kazi,anaishi kwa wazazi. Kuonana nami ndani ya 3 days anitangazie shida....sitaki wanawake wenye shida hizo. Na sikuwa na lengo la kumla. Soma mbona imeandikwa kwa kiswahili chepesi tu?inaeleweka.nami nimemjibu kiwepesi kabisa...[emoji16] Muwe na subra basi. Siyo kudhani kila mtu ananunua utelezi.
Kumbe
Maana ake ww ulitaka MKE wa kumuoa?
Basi mahaba kifuani, ndo maana ulipanicalivokujibu vile[emoji4]

Chakukushaur,
Huyo mwanamke sio chaguo sahii,
Au Naye alijua wee Ni mpigaji TU.

Cha kufanya,
Weka lengo lake kwake clear ajue,

Ujue Kuna wanawake wanajali muda,
Hawapendi ishu za kupotezeana muda
Wakati anajua hitaji lako Ni Nini kwake
 
Huyo sio mpenz alikuwa anadanga hapo ukubali ulikuwa danga la mtu
Afu kingine,
Wanawake wengi wadangaji
Huwachukulia wale watoaji Kama malofa flan hivi wasiojua Kama wanadangwa.

Yaan wanajua kwasababu washapendwa, jamaa atapaswa kufanya chochote kile kugharamia ili kutetea penzi lake

Hujikuta wanaropoka TU bila kuchuja,kujistukia Wala kujali chochote.

Hapa mwanaume usipokua smart kusoma mchezo,.ndo ile utaskia mwanaume keshaanza kufilisika au kijana kua mwizi ili kulinda na kutetea penzi lake
 
Kuna vitu ukivikubali Utakuwa hauna hofu ya chochote bali utqjivunia uanaume wako,ndo maana vijana mnasema hamuoi sio sabbu ni wanawake ila ubahili na uchoyo mlonao mnawaza kulisha familia mnaona mzigo

Wanaume waliokamilika hawazunguzii kulalamika kuombwa elfu kumi ila wanatoa bila kuombwa ni sehemu ya mjukumuyao Kwa wanawake zao

Mje tu mnipige
Aisee...uanaume wangu hauwi defined na mwanamke mdangaii.yaani kwa aina yako hiyo acha waniite shoga,mvulana n.k but siwezi kutaka onesha upumbavu nikifananisha na uanamue. Hata uanamke si kutangaza njaa...zamani haikuwa hivi. Wanawake walikuwa wanajisitiri. Siyo nyie wa sasa. Mnauza sehemu zenu za siri.
 
Punguzeni kutukanana bhana,
Mbona mnakua Kama sio watu wazima,
Afu wee ndo mwenye Uzi, na unashiriki kuuchafua uzi wako.
Haijakaa vizur mkuu
Hakuna matusi hapo,hivyo Ni viunganishi tu huku mtaani.
 
Kama 150k unasugua masaa4 ukitoa 5mil itakuaje mzeiyaaa [emoji2]
Haielezeki chief
Sema kiuhalisia tuache ushabiki maandazi,
ile kitu haikomolewi mkuu, hata usugue mwaka mzima non-stop[emoji4]
 
Aisee...uanaume wangu hauwi defined na mwanamke mdangaii.yaani kwa aina yako hiyo acha waniite shoga,mvulana n.k but siwezi kutaka onesha upumbavu nikifananisha na uanamue. Hata uanamke si kutangaza njaa...zamani haikuwa hivi. Wanawake walikuwa wanajisitiri. Siyo nyie wa sasa. Mnauza sehemu zenu za siri.
Povu Tena kama Huna uvumilivu usianzishe Uzi kilamtu anakuja na mawazo yake
Mm sio mdangaji na siwez kuwa na watoto wanne nikamdangie nani Sasa 😂😂
 
Afu kingine,
Wanawake wengi wadangaji
Huwachukulia wale watoaji Kama malofa flan hivi wasiojua Kama wanadangwa.

Yaan wanajua kwasababu washapendwa, jamaa atapaswa kufanya chochote kile kugharamia ili kutetea penzi lake

Hujikuta wanaropoka TU bila kuchuja,kujistukia Wala kujali chochote.

Hapa mwanaume usipokua smart kusoma mchezo,.ndo ile utaskia mwanaume keshaanza kufilisika au kijana kua mwizi ili kulinda na kutetea penzi lake
Ila kilamtu anapta kulingana na alivo japo wengine majaribu wanayapitia pia japo ni wachache,mwanaume uko busy na kazizako ukirudi umechoka unapumzika ukipata mda unafanya mambo ya kueleweka unapiga story na washkaji zako huyu mdangaji mnakutna nae wapi maana navojua wanakuwaga sehemu za kuwatega wapite nao
 
Back
Top Bottom