Amenikosea badala ya kuniomba msamaha kakaa kimya tu

sam green

Senior Member
Joined
Feb 21, 2020
Posts
184
Reaction score
274
Tulikwazana kidogo na my girlfriend nikaamua nikae kimya! Nashangaa naye yupo kimyaa siku ya 3 ina isha leo hivi kuna upendo hapo [emoji849][emoji849][emoji849]

Nilitegemea atanitafuta ataomba msamaha lakini kaamua naye kukausha kama mimi.

1655829284921.png
 
Tulikwazana kidogo na my girlfriend wang nikaamua nikae kimyA ! Nashangaa nae yupo kimyaa siku ya 3 ina isha leo hivi kuna upendo happ [emoji849][emoji849][emoji849] nilitegemea atanitafuta ataomba msamaha lakini kaamua nae kukausha kama mimi.

Je, yeye ndiye aliyekukosea hadi akutafute na kukuomba msamaha?
 
Tulikwazana kidogo na my girlfriend wang nikaamua nikae kimyA ! Nashangaa nae yupo kimyaa siku ya 3 ina isha leo hivi kuna upendo happ [emoji849][emoji849][emoji849] nilitegemea atanitafuta ataomba msamaha lakini kaamua nae kukausha kama mimi.
Nilisahau kukuuliza…nani aliyemkosea mwenzake?
 
Wewe uliamua ukae kimya ila ukashangaa nae akakaa kimya!

Kwanini hukujishangaa wewe kuamua kukaa kimya?

Hiyo haina ukali wowote ni wote mmekutana hampendani tu
 
Tulikwazana kidogo na my girlfriend wang nikaamua nikae kimyA ! Nashangaa nae yupo kimyaa siku ya 3 ina isha leo hivi kuna upendo happ [emoji849][emoji849][emoji849] nilitegemea atanitafuta ataomba msamaha lakini kaamua nae kukausha kama mimi.
Sasa na wewe ni kama yeye tu, mwanaume unanunaje sasa
 
Back
Top Bottom