Amenikosea badala ya kuniomba msamaha kakaa kimya tu

Amenikosea badala ya kuniomba msamaha kakaa kimya tu

Easy Way...Kwanini usiamini ndo mmeachana hivyo! au ndo unasubiri kuambiwa 'sikutaki'?
 
Ni marufuku mwanaume kuomba radhi zaidi ya mara mbili, itoshe kusema samahani mara 2 tu, kama mwanamke hawezi kukusamehe endelea na ishu zako, mwanaume ukiomba msamaha mwanamke anatakiwa akuheshimu sana sasa shida yao ndiyo wanataka kutumia hiyo gia kukupanda kichwani
utakuwa mchaga wewe
teh teh hahahahah
 
Mpaka leo bado mnalia lia mapenzi akizingua unazingua maumivu utakayopata baadae kwa kuendelea na huyo kiumbe ni makubwa kuliko sasa hivi.
 
Mikausho mikausho tu.ukianza watu wanamaliza [emoji16][emoji16]ulikuwa unatingisha kibiriti ee[emoji2957][emoji2957]pole
Mwenzake kamwaga njiti zote. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Basi wadau nimetafutwa hapa shukranii [emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Za jion xjaktafta kw nia mbay nachotak kujua mim kfurushi nmeachwa au laa ili niendlee na maixh yangu man kmy kmetawala xjajua tatz uktak utanjb uxpotaka xaw ila nltak kujua hlo t kam wakufua kwako amepatkana wawez namby niendl3 na maixh yangu n hayo t
Weee huu uandishi ni wako? Sikatai ninaandika vibaya mie ila wee ni kichefu chefu, khaaah
Na unavojinunisha ndo kabisaaa, naunga dots woiiiiiiih.
 
Mtu abembelezane na maisha halafu akubembeleze na wewe...
Unakwama wapii...nani alikushauri kwamba huwa unamchunia umpendae?? Unaweza mchunia ikawa ndo kimoja...
 
kama unampenda utamtafuta ila kama humuelewi huna haja ya kujisumbuaaa..
 
Ukiona hutafutwi ujue yupo mwenzio anaetafutwa....vijana muwe na tabia ya kuzisoma alama na nyakati kwanini unyanyasike kisaikorojia kwa sababu ya mapenzi?....tambua na ufahamu kuwa wewe ni wa thamani sana....
 
Pole sana huenda alikuwa anatafuta pa kutokea, jaribu kumtafuta kabla hujachelewa sana.
 
Back
Top Bottom