Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unafikiri yeye hana kazi za kufanya kwamba akuwaze wewe tu kwani wewe MUNGU
mpumzishe mtoto wawatu
Ni marufuku mwanaume kuomba radhi zaidi ya mara mbili, itoshe kusema samahani mara 2 tu, kama mwanamke hawezi kukusamehe endelea na ishu zako, mwanaume ukiomba msamaha mwanamke anatakiwa akuheshimu sana sasa shida yao ndiyo wanataka kutumia hiyo gia kukupanda kichwanikikuweli me ndio nilimkosea ila niliomba radhi kwa hilo, sasa sijui anataka niendelee kuomba radhi.
bahati mbaya me ni type ya wale watu tusiojua kumbeleza.
Ni hile pisi yako amabayo haieleweki, leo imekuomba msamaha [emoji23][emoji23]Tafuta mbususu nyingine kama Kakose na hataki kuomba msamaha mi mwenzio wangu tumezinguana nimemuwashia moto hapa now ananiomba msamaha furesh tu View attachment 2268085
...Labda wewe ndio umekosea...na yeye alikuwa anabiri.wewe ndio uombe Msamaha...!Tulikwazana kidogo na my girlfriend nikaamua nikae kimya! Nashangaa naye yupo kimyaa siku ya 3 ina isha leo hivi kuna upendo hapo [emoji849][emoji849][emoji849]
Nilitegemea atanitafuta ataomba msamaha lakini kaamua naye kukausha kama mimi.
Ongeza siku 6Tulikwazana kidogo na my girlfriend nikaamua nikae kimya! Nashangaa naye yupo kimyaa siku ya 3 ina isha leo hivi kuna upendo hapo [emoji849][emoji849][emoji849]
Nilitegemea atanitafuta ataomba msamaha lakini kaamua naye kukausha kama mimi.
Yeah mkuu wangu [emoji23][emoji23][emoji23]Ni hile pisi yako amabayo haieleweki, leo imekuomba msamaha [emoji23][emoji23]
Yeah mkuu wangu [emoji23][emoji23][emoji23]
Leo imenipigia ikawa inalalamika tena nikaizingua kuwa sipend hizo mambo ndo ikawa inaniomba msamaha sasa kaisha teali nilishawaahidi weekend haifiki mkuu
Mbaka nikamilishe mlicho nituma mkuuSawa umekaza kitaeleweka tu
Nasubiri mrejesho tuone mawazo yetu yalikua sahihiMbaka nikamilishe mlicho nituma mkuu
Kwakweli yaishe tuUkiwa bado unampenda na huwezi kumsahau kirahisi,mtafute ongea nae kwa utulivu kisha mwambie,kutoka na changamoto zilizo jitokeza dhidi yetu naomba tuziondoe
Kama ana nia njema na hayo mahusiano atakuelewa na mtarudi kwenye mahusiano mazuri
Jaribu kuisikiliza nafsi yako inataka nini,hata kama yeye ndie mkosefu