Afro king
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 445
- 455
Swal muhim sana asiwe alikuwa mshikaji wa kumsaidia haja zake
Una uhakika ni Girlfriend wako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika ni Girlfriend wako?
Hakuna yuko vizur sana mkuuUyo wa bye bye forever bas alikuwa hakupelkei moto ipasavyoo
Umesimamia msimamo gani sasa, ila haipendezi kwa mwanaume kuwa na tabia ya kujikausha huku bado unanipenda hiyo pisi[emoji23][emoji23][emoji23] me huyu mwingine hapa nahisi ndio tushaachana. ni week ya nne hii inaenda hakuna anayemsemesha mwenzie.[emoji3]
Vijana na mapenzi yenu mnatabu nyie mkikua mtaacha
Hii sms aliyokuandikia haina Afya kabisaa...mkuu tembea na gap...Tafuta hela utakuja nishukuru hapa hapa..sms ina ukakas haswa..she has nothng to loose...!! Sms kama hii nikitumiwa sijibu chochote na namba nafuta hapo hapo..Basi wadau nimetafutwa hapa shukranii [emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Za jion xjaktafta kw nia mbay nachotak kujua mim kfurushi nmeachwa au laa ili niendlee na maixh yangu man kmy kmetawala xjajua tatz uktak utanjb uxpotaka xaw ila nltak kujua hlo t kam wakufua kwako amepatkana wawez namby niendl3 na maixh yangu n hayo t
Ulitaka msg iwe na afya gani? huyo manzi hujamjua kwa undani kama mlalamikaji yeye ndiyo anamjua vizuri manzi wake na namna ana sound msiwatenganishe watu kwa perception tuHii sms aliyokuandikia haina Afya kabisaa...mkuu tembea na gap...Tafuta hela utakuja nishukuru hapa hapa..sms ina ukakas haswa..she has nothng to loose...!! Sms kama hii nikitumiwa sijibu chochote na namba nafuta hapo hapo..
Kiukweli walimu wa mkoloni walikuwa wanafundisha tena kwa viboko jinsi ya kuandika sio tu kiswahili fasaha bali na mwandiko sahihi.Basi wadau nimetafutwa hapa shukranii [emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Za jion xjaktafta kw nia mbay nachotak kujua mim kfurushi nmeachwa au laa ili niendlee na maixh yangu man kmy kmetawala xjajua tatz uktak utanjb uxpotaka xaw ila nltak kujua hlo t kam wakufua kwako amepatkana wawez namby niendl3 na maixh yangu n hayo t
Baada ya yeye kukuandikia hivi tuwekee uliyomjibu.
Yuko form ngap huyu mtoto??Basi wadau nimetafutwa hapa shukranii [emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Za jion xjaktafta kw nia mbay nachotak kujua mim kfurushi nmeachwa au laa ili niendlee na maixh yangu man kmy kmetawala xjajua tatz uktak utanjb uxpotaka xaw ila nltak kujua hlo t kam wakufua kwako amepatkana wawez namby niendl3 na maixh yangu n hayo t
Eti ukitaka utanitafuta na usipotaka sawa!!! Naona wa kufua amepatikana.. 😂😂😂 upuuzi tuu...kwa hyo miaka yote alikuwa anafua yy...?? Nakuzaba na block la hatari..!!!Ulitaka msg iwe na afya gani? huyo manzi hujamjua kwa undani kama mlalamikaji yeye ndiyo anamjua vizuri manzi wake na namna ana sound msiwatenganishe watu kwa perception tu
😂😂😂😂 la tatu A...yaan hawa ni mabikira woteYuko form ngap huyu mtoto??
Umemwaga Mboga yeye kamwaga Ugali. Ngoma droo mpaka matuta yapigwe.Tulikwazana kidogo na my girlfriend nikaamua nikae kimya! Nashangaa naye yupo kimyaa siku ya 3 ina isha leo hivi kuna upendo hapo [emoji849][emoji849][emoji849]
Nilitegemea atanitafuta ataomba msamaha lakini kaamua naye kukausha kama mimi.
SawaAmemalza 4m4 mwaka 2020! Now yupo tuu ana biashara zakee